Jana ilikuwa ni siku maalumu kwa Come and See Promoters kwa kuzindua blogu yao ya Waimbaji wa nyimbo za injili Tanzania. Blogu hii imetegenezwa na RUMAFRICA. Unaweza kutembelea www.comeandseemusic.blogspot.com.
Waimbaji wa Mesangers Band
Mmiliki wa blogu ya Come and See Promoter, Hima (kushoto) akipokea mchango kutoka kwa wadau wake
Mgeni wa rasmi Mchungaji John akimkabidhi mdau wa Come and see Promoters mic kwaajili ya kuchangia.
Mwimbaji wa nyimbo za injili akiahidi mchango kwaajili ya blogu
Wadau wakimsikiliza mchungaji akihubiri kabla ya uzinduzi kuanza
Mchungaji sulley kushoto akiahidi kwaajili ya kuchangia blogu
Jerry Murro akisoma Neno kwaajili ya kuhamasisha watu wachangie blogu
Blogu ikiwa katika projector
Blogu ikizinduliwa na mgeni rasmi
Jerry Muro wa pili kutoka kushoto akisikiliza hotuba kutoka kwa mmbeba maono wa Come and See Promoters
Mwimbaji wa nyimbo za injili Madam Ruti wa Jana Imepita akimtumikia Mungu kwa njia ya uimbaji
Kutoka kulia ni Chris, MC Chavala na Madam Ruti wakiwa stejini
Jerry Murro wa TBC1 akisoma neno la Mungu kuhamasisha watu kuchangia. Alisema tunatakiwa kuwa na wivu wa kushindana na watu wa Mataifa, kwani wao katika kumchangia mwanamziki wanafanya kweli.
Ni furaha tele
Baadhi ya wanamuziki wa Whispers Band
Mwimbaji kutoka Arusha
Kwaya malidadi ikifanya kweli stejini
Ni furaha tele
Baadhi ya wanamuziki wa Whispers Band
Mwimbaji kutoka Arusha
Kwaya malidadi ikifanya kweli stejini
Comments