RUMAFRICA Magazine

RUMAFRICA FASHION

RUMAFRICA FASHION

DVD ZA FOF EXECUTIVE SASA ZINZPATIKANA



Ile DVD ya FoF Executive Iliyofanyika Peacock Hotel, Sasa Inapatikana, mbali na Kupata Matukio yote ya FoF Executive utapata Pia yafuatayo.1. Fursa za Uwekezaji Zilizopo Tanzania na Makampuni Yanayo saidia fedha katika Uwekezaji wa ndani.2. Interview Ya Ruge Mutahaba akieleza "Namna ya Kugundua Fursa Kwa Kutumia Kipaji Ulichonacho",3. Vichekesho Vya Mc Pilipili (Ukienda Movie na Mtoto wa Uswahili na Mtoto wa geti kali, Shida ya Abiria wanayoipata wakikaa na Mama Mwenye Mtoto, Funga kazi ni Wauza Dawa Wa Alovera kwenye Mabasi).Get Your Copy NOW......Order kwa 0713 494110 (Ze Blogger).

Comments