Jana Tarehe 28 November ndo mwili wa marehemu Sharomilionea ulizikwa,ni
ngumu kuamini inauma lakini ndo hivyo ameshatangulia mbele ya haki.Ndugu
zake walikuwa na uchungu sana ukizingatia alikuwa mtoto wa kiume pekee
na wa mwisho.Kwa mujibu wa Mama Mdogo wa Marehemu Bi Mahija
Mkiety,Sharomilionea alizaliwa Muhimbili Dar es salaam lakini kulelewa
Tanga na kusoma alisoma Tanga shule ya Msingi Lusanga mpaka darasa la 7
baada ya hapo hakuendelea na masomo tena.Alisema Alizaliwa tarehe 15
mwezi wa 3 mwaka 1987.
Hapo ni mtaani kwakina Sharomilionea Kijijini kwao Lusanga,huko Muheza Tanga
Msanii Roma akiwa kwenye mtaani hapo ambapo ni hatua chache kutoka nyumbani kwao
Kinamama wakiwa msibani
Wazee wa kijijini kwa kina Sharomilionea wakiwa kwenye mazishi
Wasanii wa maigizo
Mama Mdogo wa Sharomilionea na Dada mkubwa wa Sharomilionea Salma Ally
Muhogo Mchungu
Msanii wa maigizo Bi Mwenda
Anayeonekana katikati ni Dada yake marehemu Sharomilionea wa
kwanza.Kutoka kushoto ni mtoto wa mama mdogo wake na anayefuatia ni mama
mdogo wake
Ndugu zake wengine
Huyu kaka alikuwa akilia sana, ni kati ya ndugu wa marehemu wa karibu hata kuongea alikuwa hawezi
Baadhi ya wasanii wa BongoMovies Irene na Rose Ndauka
Yusuph Mlela,Dj Mackay wa East Africa Radio na Sajuki
Wa kwanza ndo rafiki wa karibu wa marehemu ambaye alimuazima gari lake anajulikana kwa jina la Moud
ANGALIA MATUKIO MENGINE KWA KUBOFYA "Read More"
HAPO CHINI
ANGALIA MATUKIO MENGINE KWA KUBOFYA "Read More"
HAPO CHINI
Mwenye shati jeupe ni Waziri wa Njenje,nyuma Mzee Majuto na msanii wa maigizo Mzee Chilo
Tiny Dad
Nape na Viongozi wengine wa CCM walikuwepo
Baadhi ya wasanii na watu wengine wakiwa kwenye eneo ambalo amezikwa Sharomilionea
Roma
Kaburi ambalo liko nyuma ya nyumbani kwa kina Sharomilionea
Tanga,Muheza na hapo ndipo ambapo mwili wa Sharomilionea ulipopumzika
milele
Watu wengi wa hapo Kijijini walikuwa wanataka kupiga picha na wasanii
baada ya mazishi,hapo ni Kitaani kwa kina marehemu Sharomilionea,ni Rose
Ndauka akiwa na wasanii wa kundi la TNG kutoka Tanga.
Mimi,TNG ndani ya Kitaa cha kina Sharomilionea
Comments