Orida Njole akiongea na Rumafrica jana, amesema ameamua kufanya hivyo kwa lengo wa kuibariki CD albamu yake kabla hajaingia sokoni na kabla ya uzinduzi. Anakukaribisha katika zoezi hilo la kuweka wakfu albamu yake katika kanisa la TAG Mbagala. Zoezi zima litafanyaka kanisani wakati wa ibada na hakutakuwa na kiingilio chochote.
Kama ulikuwa hujui, Orida mbali na uimbaji pia ni mwandishi wa habari, nesi, shemashi, MC na mjasiliamali.
CD cover
CD sticker
+255 15 85 15 23
rumatz@yahoo.com
Ukitaka kuona kazi zimefanywa na Rumafrica, ingia
Comments