Katika
ibada hii kulikuwa na ukaribisho wa wageni waliofika katika ibada. Mchungaji
msaidizi Jury aliwatia moyo waumini kuwa Mungu anaenda kufanya jambo katika
maisha ya kila mwamini. Mchungaji alitoa ratiba ya ibada zinazofanyika katika
ibada hiyo.
Nabii Flora
Peter alianza ibada kwa kuwasalimia kwa maombi waumini wa kanisa lake. Aliwaeleza
kuwa ibada hii itakuwa ni ya MATENDO MAKUU YA MUNGU. Na haya ndio aliyoyasema
Nabii Flora Peter akiwa madhabahuni
“Ikiwa Mungu ametenda matendo makuu mwanzo wa wiki hii, nimeona watu wakifunguliwa, vilema wakipona, walio vipofu wakiona, waliopooza wakipata uponyaji wao. Tumepokea wageni kutoka Zambia, DRC, Kongo, mtu kutoka Lugumbashi Kongo aliyekuwa na kigongo na uvimbe (kanza) Mungu amemtendea.. Kuna mwingine alitoka Zambia akishindwa kutembea na alikuwa akitumia wheel chair, ila alipofika mahali hapa alipata uponyaji na kutmbea.
Kanisa la
Yesu la maombezi Tanzania
linatuma maombezi kwa watu wote, ngome zitaachilia siku ya leo. Nina kila
sababu maana ninaona mbingu imefunguka leo, mbingu imenikubali, dunia lazima
itetemeke. Nakuambia leo mambo makubwa yatatokea ambayo hayajawahi kutokea,
utaona wagonjwa wakipona.
Jumapili iliyopita miti iliinama, na leo kila chenye mwili kitasujudu. Uchumi wako umeyumba leo mambo yako yanaenda kufunguka, naona mbingi kitenda utukufu, mbigu imetanda, leo ni siku ya ajabu. Kwako wewe uliyefika una
bahati kwakuwa Mungu anaenda kugusa mkono kwa mkono na wengine wataenda kuguswa na malaika.
Nabii Frola Peter
SHUHUDA
ARINA FRANCIS
alikuwa na haya ya kusema:
MTOTO ALIYEKUWA AKITOKA DAMU APONA
Namshukuru Mungu, nilikuwa katika ibada hadi saa 10, nilipofika nyumbani mdogo wangu alipoteza fahamu na damu zilikuwa zikitoka puani na daktari wetu alituambia kuwa mapigo ya moyo yamepotea na hawezi kupona. Nikampigia simu Nabii Flora, naye alimuombea na Yesu alimkomboa.
MGONJWA MAUTUTI APONA KWA IMANI
ANNA alikuwa na haya ya kusema:
Jumapili iliyopita miti iliinama, na leo kila chenye mwili kitasujudu. Uchumi wako umeyumba leo mambo yako yanaenda kufunguka, naona mbingi kitenda utukufu, mbigu imetanda, leo ni siku ya ajabu. Kwako wewe uliyefika una
bahati kwakuwa Mungu anaenda kugusa mkono kwa mkono na wengine wataenda kuguswa na malaika.
Nabii Frola Peter
SHUHUDA
ARINA FRANCIS
alikuwa na haya ya kusema:
MTOTO ALIYEKUWA AKITOKA DAMU APONA
Namshukuru Mungu, nilikuwa katika ibada hadi saa 10, nilipofika nyumbani mdogo wangu alipoteza fahamu na damu zilikuwa zikitoka puani na daktari wetu alituambia kuwa mapigo ya moyo yamepotea na hawezi kupona. Nikampigia simu Nabii Flora, naye alimuombea na Yesu alimkomboa.
MGONJWA MAUTUTI APONA KWA IMANI
ANNA alikuwa na haya ya kusema:
Bwana Yesu
ametendea matedo mawili
La kwanza
mama mkwe wake alipotea, nikampigia simu Nabii Flora akanambia njoo kanisani. Nabii
Flora akanambia mkwe wako yuko anapanda gari kuelekea Ubungo huku akisema kuwa
mke wa mtoto wake amefukuzwa. Nabii akasema mtamkuta mwenge na mkichelewa
matamkuta Ubungo kwasababu anaenda nyumbani kwake, nilimlilia sana Mungu. Nilipoenda Ubungo nilimkuta
La pili, Siku
ya ijumaa anilipigiwa simu na kuambiwa wifi yangu anaumwa sana na presha iko juu. Nilipofika hospitali
nikaona amekata kauli kabisa, nikampigia simu Octavian ili nionane na Nabii,
Octavian akaniambia simama katika imani. Nilisima katika imani, mgonjwa
alifendi akaanza kulishwa na mpila na chakula anachokula kinarudi. Jumamosi
nilichukua maji ya baraka na kupitishia kwenye mpira, tulipomaliza yale maji,
wifi yangu alipiga chafya, na sasa ufahamu wake umerudi na pressure yake iko
normal
NABII
AMTABIRIA MUUMINI KWENDA MAREKANI
JUDITH alikuwa na haya ya kusema:
JUDITH alikuwa na haya ya kusema:
Namshukuru
Mungu, Nabii Flora alinitabiria kwenda Marekani, na sasa mwezi wa kumi 2010
ALIKUWA NA UHITAJI WA PESA APATA PESA
MHINA alikuwa na haya ya kusema:
Namshukuru Mungu kwa matendo makuu, nilikuja
hapa ijumaa, nilikuwa na uhitaji wa pesa. Nikamwambia Nabii Flora, akasema
utapata fedha. Ilipofika Jumamosi nikapata pesa na nimetoa funngu la kumiALIKUWA NA UHITAJI WA PESA APATA PESA
MHINA alikuwa na haya ya kusema:
Nabii Flora Peter akiombea watu mbalimbali
Waumini wakitegemea kupata muujiza kutoka kwa Mungu.
Waumini wakiombewa na Nabii Flora Peter
Bibi harusi mtarajiwa Magreti kulia kati waliowekewa kanga juu
Bibi harusi mtarajiwa Magreti wa pili kutoka kushoto akiwa na Rose Mbajo (kushoto)
Mtafisiri wa lugha ya Kiebrania na Kirumi na ni mzee wa kanisa
Gabu akimvisha pete ya uchumba Magreti
Nabii Flora Peter-Sadaka ya shurani kutoka kwa muumini baada ya kurudi kutoka Marekani
Waumini
Nabii Flora Peter
waimbaji wa kanisa la Yesu Kristo la Huduma ya Maombezi
Comments