PICHA ZA SHAROMILIONEA AKIWA KWENYE INTERVIEW EASTAFRICA RADIO ALHAMISI,ILIKUWA NI INTERVIEW YAKE YA MWISHO YA REDIO
Baadhi ya picha ambazo nilizobaki nazo baada ya kumpiga akiwa kwenye
Interview yake ya mwisho ya Radio East Africa kwenye Powerjams
Marehemu Akiwa na Mtangazaji wa kipindi cha Taarabu East Africa Radio, Mwamfuo Othman
Akiwa na Afisa Masoko EATV Happy Shame
Mwenyezi Mungu Akupumzishe kwa Amani Sharomilionea
Comments