RUMAFRICA Magazine

RUMAFRICA FASHION

RUMAFRICA FASHION

ANZA MWAKA 2013 NA YESU EAGT CITY CENTRE


Maombi maalum ya baraka kwa familia yataanza leo hii pale EAGT City Centre kwa mtumishi wa Mungu, Mchungaji Florian Katunzi, kama njia ya kuuanza mwaka vyema na Bwana Yesu.
Kongamano hili la siku nne, kuanzia tarehe 29/12/2012 hadi tarehe 1/1/2013, pia litashuhudia waimbaji kadhaa wakihudumu, ambapo baadhi yao ni kama Emmanuel Mgaya (Masanja Mkandazimaji), Upendo Nkone, Martha Mwaipaja, na Christina Mbinlinyi.
Tazama tangazo na kisha uchukue hatua kwa msimu huu mpya wa maisha yako.

Comments