NABII FLORA: UJUMBE WA TAREHE 20.12.2012 NI WA KUTUBU NA KUFUNGA NA KUJINYENYEKEZA MBELE ZA MUNGU KWAAJILI YETU SISI, WAOTOTO NA MALI ZETU.
Ninakukaribisha
katika kipindi cha Neno la Mungu chenye miujiza na maajabu. Nina kila sababu ya
kusema asnte kwa Baba kwaajili yako, na kwaajili yangu pia. Kuna watu
wanashindwa kusimama kwa muda mrefu, ni kwa neema ya Mungu tu, kuna wengine
wanachoka kuamka alfajiri kufamya huduma, wengi hawaweze ila ni neema tu, sifa
na utukufu apewe Mungu kwani Yeye ndiye
anatuwezesha sisi kusimama muda mrefu kufanya huduma yake.
Nina kila
sababu ya kusema asante
kwa Mungu, kwani toka mwanzo wa wiki nimeona watu wakipona kisukari,
wasiotembea wanatembea, nimeona watu wakipata kazi, watu wakipokea baraka za
Bwana. Mungu aendelee kutenda juu yako, Mungu aendelee kusema juu yako, Mungu
aendelee kukujalia neema.
Umekuja
hapa ili kuona baraka za Mungu.
USHUHUDA 0: Katika wiki hii kuna mtoto alipotea na sasa amepatikana kwa yule mama Muha alikuja Jumatatu, siku hiyo ya Jumatatu alimpata mtoto. Alienda kwa mama nitilie wanaochoma maandazi, akakuta mwanae amejigeuza kuwa chokolaa. Alienda mahali pale akamkuta mtoto wake kijana wa miaka 19.

sababu ya kukusalimia maana anasema ni njema kila iitwapo leo, mkono wa Bwana
ni asubuhi kila iitwapo leo.
SALAMU
ZA NABII FLORA KWAKO WEWE.
Tutasoma
katika kitabu cha Maombolezo 3:22, kabla ya kusoma, ninakusalimia mkazi wa Tanzania, mkazi wa dare s Salaam,
watu wote wanaonisikiliza kwenye internet au Tv au radio.
Tunasoma
katika Biblia zetu, “Ni huruma ya Bwana kwamba hatuangamii kwa kuwa rehema
zake hazikomi, ni mpya kila siku asubuhi waminifu wake ni mkuu sana. Bwana ni fungu langukwahiyo
nitamtumikia Yeye. Bwana atanitangilia asubuh, Bwana atanilinda mchana, jioni
atakupa riziki yako
Nabii Flora aliyekaa chini akiwa na msomaji wake wa Biblia
Unapaswa
hata wewe mwezi huu wa kuelekea Krismasi, nataka uwe mpya ndani ya moyo wako. Fadhili
za Bwana ni mpya kila asubuhi. Nataka wewe mkazi wa Dare s Salaam, mkazi wa
Tanzania, wewe unayenisikiliza sehemu mbalimbali, Bwana anasema “Fadhili za
Bwana ni mpya kila asubuhi tena fadhili za bwana hazikomi” Nataka
fadhili za Bwana zisikome kwako, baraka za Bwana zisipungue kwako, wema wa
Mungu usikome kwako, kubarikiwa kusikome kwako, ukabarikiwe, nataka baraka
zimiminike juu yako. Kwani Bwana amesema fadhili zake ni mpya kila iitwapo leo.
nataka
Mungu atende muujiza kwako, nataka bwana akubariki, nataka Mungu akuinue,
nataka Mungu akutendee.
USHUHUDA 1: Leo asubuhi nilikuwa naongea na Mheshimiwa Nyanja, akawa ananambia, “nabii Flora nimesikia huduma yako, nakuomba nije, nikamwambia njoo ninakupa appointment ya saa tano na nusu. Akasema nataka na mimi nikae kwenye foleni nitajipanga, nataka kukutana na Yesu kwa anahadithiwa kote mjini, nikamwambia, Njoo utakutana naye.

Nataka
asubuhi ya leo umtumaini Bwana, ukapate kumtumia Mungu asubuhi ya leo, kwa
maana Bwana ndiye fungu langu na lako. Hebu muweke Yesu mbele hakuna jambo
litakaloshindikana.
USHUHUDA 2: Tumeona jana watu wakishuhudia. Kuna baba alikuja anasema amepona. Alikuwa na tatizo la moyo, kisukari na figo, lakini juzi amepima katika hospitali ya Muhimbili na kuona majibu yote safi. Akaniomba kuwa Krismasi angependa kula na mimi Nabii Flora. Nikamwambia mwanangu njoo hapa kanisani tule Krismasi pamoja.
USHUHUDA 3: Nimemuona Mungu wa ajabu. Kuna binti moyo ulitanuka na ili bidi kwenda hospitalini kutolewa, lakini alipokuja hapa alipona kutokana na maombezi yangu na yako.
Fadhili za Bwana ni mpya kila asubuhi tena hazitakoma juu yako, ukimwamini Yesu fadhili zako hazitakoma. Baraka asubuhi, jioni, mchana zitakuja, mtondo go zitakuja. Utapata baraka za pesa.
USHUHUDA: Kuna mchaga mmoja alikuwa na milioni moja ndani mwake, baada ya kuondoka Jumapili hapa, pesa zimeongezeka laki moja.
Nilisema watu watadondokewa pesa hapa kanisani. Utaenda kufanikiwa biashara yak oleo, utaenda kufunguliwa uliyekuja mahali hapa, maana Bwana anasema, atabariki kazi ya mikono yako. Anasema jioni atakupa riziki yako—utakapo kuja nyumbani kwako jioni na kupiga mahesabu utaona ongezeko la matunda yako ya mchana.

Kabla ya
mwaka haujaisha Mungu akufanikishe. Yesu arudishe ya baraka kwako. Mwaka 2013
uingie kwa kishindo, maana anasema mbinguni tutaingia kwa nguvu nyingi. Wenye
nguvu ndio wanaouteka ufalme wa Mungu
NABII FLORA: UJUMBE WA TAREHE 20.12.2012 NI WA KUTUBU NA KUFUNGA NA KUJINYENYEKEZA MBELE ZA MUNGU KWAAJILI YETU SISI, WAOTOTO NA MALI ZETU.
NABII FLORA: UJUMBE WA TAREHE 20.12.2012 NI WA KUTUBU NA KUFUNGA NA KUJINYENYEKEZA MBELE ZA MUNGU KWAAJILI YETU SISI, WAOTOTO NA MALI ZETU.
Esra 8:21, Ndipo
mimi nikaamuru kufunga pale kwenye mto Ahaba, ili kupata kujinyeyekeza mbele za
Mungu, na kutafuta njia iliyonyooka kwaajili yetu sisi na watoto wetu na
kwaajili ya mali yake. Basi aliomba haya kumuomba mfalme kikosi cha askari. Tulifunga
ili kukata minyoro ya adui. Basi baada ya haya yote Esra alipokuwa akiomba na
kuungama, akijiangusha chini kifudifudi, akawakusanya na ndugu zake wote,
wanaume kwa wanawake, pamoja na watoto. Kilio chao kilisikika mbele za Mung.
Walikusanyika wanaume, wanawake na watoto wote wakiwa wanalia sana, baada ya
hapo Bwana alisikia kilio chao. Wale walioamriwa kufunga na kuomba, Bwna
anasikia kilio chao caha kuokoa taifa lote. Ndipo aliamuru kufunga pale kwenye
mtu Ahaba ili tupate sisi sote kujinyenyekeza mbele za Mungu na kutafuta njia
iliyonyooka kwaajili yako mwenyewe. Kwaajili ya watoto wako, na kwaajili ya mali zako na
chohote unachokimiliki.
Mkono wa
Mungu u juu ya kila mtu anayemtafuta na wale wanaotenda mema kwa maana uweza
wake uko juu ya wale wanaotenda maovu.
Basi
Ezra alipokuwa akiomba na kulia sana, alijiamgusha kifudifudi mbele ya nyumba
ya Yakobokatika kusanyaiko la Israel
yote. Wanaume, wanawake pamoja na watoto wadogo walikusanyika na wote
wakamlilia sana
Bwana.
Watumishi
wa Mungu tunaenda kufunga, ila wewe unayeumwa usifunge kwa maana hairuhusiwi. Kabla
ya mwaka tunaenda kufunga na kujitakasa. Tunapoenda kula Krismasi lazima
tusafishe mioyo yetu. Mtu anapofunga ni kwaajili yake yeye mwenyewe kwanza.
Funga maadui ndani ya moyo wako, funga maneno maneno, funga mapepo, funga
umbea, funga kila kitu kisipenye ndani yako, wafunge makahaba, yafunge
magonjwa, funga machuma ulete katika mwezi ili tuingie kula Krismasi kwa amani
na furaha.
Wewe
unayeteswa na UKIMWI, amua sasa kuwa unakwenda kwa Bwana Yesu, unakwenda
kuonana na nabii Flora
Amini mama yangu kuwa kilio chako leo
kinasikika mbele za Mungu. Kutoka mbinguni Bwana anasikia kilio chako, machungu
uliyonayo anasikia, magumu uliyonayo binti anasikia, una madeni benki na wataka kufilisi nyumba
yako ila Bwna anasikia kilio chako.
Dua yako ni
nini mwanaume na mwanamke? Bwana atasikia maombi yako, dua yako Bwana ataenda
kusikia.
Kumbuka tunapofunga tunatafuta njia iliyonyooka. Nataka asubuhi ya leo kila mmoja atafute njia iliyonyooka kwaajili ya Krismasi ili Yesu azaliwe ndani yako. Lazima wageni walioko ndani yako waondoke, wageni ni usengenyaji, wivu, kumsema mumeo vibaya-kipibndi ana hela ulikuwa unamwita Baba, ila anapoishiwa fedha unaanza kumnena vibaya. Lazima asun=buhi ya leo tuondoe hao wageni waliko ndani mwako.

Tunatakiwa
kutafuta njia iliyonyooka na kumwita Bwana ili atende ndani ya maisha yetu na
nyumba zetu. Ataenda kutenda na kuonekana kwako asubuhi ya leo.
Siku hizi watu hawatoi machozi kwaajili ya kumlilia Mungu wakati wa maombezi
Siku hizi watu hawatoi machozi kwaajili ya kumlilia Mungu wakati wa maombezi
KUOMBEA WATU
Yesu naomba uwatembelee wanaotenda mema siku ya leo. Huu ni wakati wa Bwana
kuwatendea mema. Ninakuita Mungu siku ya leo, shuza wingu
SOMO LINAENDELEA
Comments