RUMAFRICA Magazine

RUMAFRICA FASHION

RUMAFRICA FASHION

ASKOFU KAKOBE AMEANDANDAA MKUTANO WA KIMATAIFA CANADA


Askofu Kakobe ambaye alikuwa  kanisa Mwenge na baadae akaonekana kubadilisha jina la huduma yake na kuwa ya kimataifa sasa ana anza na mkutano mkubwa huko Canada. Mkutano huo ambao umeandaliwa kisasa kwa kufanya booking kama utakuwa huna mahali pa kulala kuna hoteli ya kisasa ambayo watu watapa punguzo maalumu kwaajili ya mkutano huo. Katika tangazo katika mtandao inaonyesha Yule mwimbaji wa kimataifa ambaye alikanyaga Tanzania kwa mara ya kwanza mwaka jana Don Moen ndiye atakaye ongoza sifa katika mkutano huo.


Mahali utakapo fanyika mkutano

This Bishop Zachary Kakobe Miracle Healing Crusade in Toronto, CANADA.
Venue: REXALL CENTRE - Toronto, CANADA
Date: June 20 - 23, 2013.
It is Free and Public. You are all Invited.


Watakaohudhulia mkutano huo watalala kwenye vyumba hivi fanya booking


Don Moen Mwongoza sifa na Askofu Kakobe mhubiri

Mahali pa kula

Ukumbi unavyoonekana kwa ndani

https://bishopzacharykakobe.org/en/events/upcoming-events
Blog hii ina mtakia mafanikio mema huko kimataifa

Comments