RUMAFRICA Magazine

RUMAFRICA FASHION

RUMAFRICA FASHION

MTOTO WA KIROHO WA NABII FLORA MWIMBAJI WA NYIMBO ZA INJILI TANZANIA, GIDEON MUTALEMWA KUZINDUA ALBAMU YAKE YA SAMBAMBA NA YESU

Baada ya kumaliza zoezi la kushinda studio na kutunga nyimbo, sasa umefika wakati wa kukuletea nyimbo tamu zenye kukufariji, kukufundisha, kukuburudisha, kukutia moyo, na kuadibisha. Hii yote inafanyika ili kuandaa maisha yetu ya baadae ya kumfikia Mungu na kuishi naye milele.

Kumbuka mtumishi huyu hupenda sana kuimba nyimbo za kiasili za kumtukuza Mungu. Kipindi hiki Wahaya mtaburudika na kubarikiwa kwani katika albamu hii kuna nyimbo za Kihaya.
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEiRg5i1NdnxuRINlw7MAF_A8xkHC6Mtaf4uj0tnz5jIWd54K4K6XGYnSNsUdtnaZx9QkNNOhocjkRp_EtLeAJXb-PQZOV9itLe7g5QqtuHabWPPrFe9wYNvzVmcv8PafiBAyVY_2z8gd84/s1600/PIC_1250.JPG
Nabii Flora Peter

Kama mdau wa mambo ya Yesu Kristo, umefika wakati wa kuimba na kumshukuru Mungu pamoja na kijana wa Yesu aliyeamua maisha yake ni kumtumikia Mungu kwa njia ya uimbaji na huduma zingine.

Tumechoka kuteswa na nguvu za giza ila kwa kupitia ujumbe utakao sikia katika albamu ya Gideon Utapata kubarikiwa na kumtukuza Mungu.

Wimbo wa sambamba na Yesu
Mpendwa unaombwa kufika kanisa hapo na wewe unayeabudu katika kanisa la Nabii Flora unaombwa kubaki mpaka ibada itakapoisha na baada ya hapo usiondoke ili uungane na mtumishi wa Mungu Gideon Mutalemwa.

Hebu fikiria wewe ukiondoka ni nani ataimbiwa hizo nyimbo, kwani ujumbe aliubeba mtumishi kwa njia ya uimbaji ni kwaajili yako na sio jengo la kanisa. Naamini hutamuangusha kijana wako. Mungu akubariki

Unaweza kusoma katika tangazo lake...


Baadhi ya waimbaji watakaomsindikiza mtumshi wa Mungu
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEi5NNTNxdNkM2ZopIlJddmaiznVfT9fLOoFN8eGXwSAUqFe3gv9M2xd3T16WpOUo7OFQXl5iJ5aKE3T94VOQZkoUttBXiMxDErb9OM7RRMFOWBz0SyhB_uuqdE1fwEOpXCMV9xi71M0EqNm/s640/PIC_1347.JPG
Stella Joel
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhfpNV6M2l4LUH_spurRTTR59BAX2qXfzQ6_97TIYRyaerCREqRoJiz5d6lk1TNb2KhnOjLB23eR8nliDh07gNCUes6MyUcwIXzDdsVmqE2WNphOKj8R0R5T4yh4uiW1pPhPlye6qJiVsk/s1600/John+%25283%2529.JPG
John Shabani
http://www.bongocelebrity.com/wp-content/uploads/2009/10/pascal-bc.jpg
Pascal Cassian
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhpeaPBRrrJg2qnCTIuBADuDCaEdpkwHnrnX-XzOYj8VsdV4U-gSq8ps3H4wn3Qgf0dmZ27thzyCwTc92jSCq6xaSQtAH2J74FwvUIlI72zY7elC7tUhX4hsR5uJTGRj2QL3LEW6beGHjS0/s1600/Leah8.JPG
Leah
Waimbaji wengine ni, The Mboni Winners Band, Rozy, Kwaya ya Kanisa la Nabii Flora

Tangazo limetengenezwa na Rumafrica. +255 715 851523 | rumatz2012@gmail.com

Comments