Nabii Flora ni mtumishi wa Mungu aliyeamua kutumia ujana wake kanisani. Amekuwa akifanya maombezi kila siku isipokuwa siku ya Jumamosi ambapo anakuwa busy sana kuliombea taifa na pia kujiaandaa katika siku ya Jumapili katika ibada takatifu.
Tunawaomban radhi wadau wa Rumafrica kutowaletea mahubiri yaliyofanyika siku hiyo. Tuko katika maandalizi.

Nabii Flora Peter

Nabii Flora Peter

Nabii Flora Peter

Nabii Flora Peter

Nabii Flora Peter

Tunawaomban radhi wadau wa Rumafrica kutowaletea mahubiri yaliyofanyika siku hiyo. Tuko katika maandalizi.
Nabii Flora Peter
Nabii Flora Peter
Nabii Flora Peter
Nabii Flora Peter
Nabii Flora Peter
Nyimbo za kusifu zenye mguso unapoimba zikiimbwa na waimbaji wa kanisa hili na kuwashirikisha wale walio fika kanisani kwaajili ya maombezi
Wakiwa katika kipindi cha sifa wakimpigia makofi Mungu wetu.
Mzee wa kanisa Ansila akiwa na mtumishi wa Mungu
Nabii Flora akiwa na mzee wa kanisa Ansila
Gideon Mutalemwa kushoto akiimba nyimbo za tenzi
Waumini wakiwa wamejipanga mstari wakisubiria kuguswa na nabii Flora ili wapokee baraka kutoka mbinguni kwa Mungu mwenyewe.
Mkono wa nabii Flora umefanyika baraka kwa walio wengi, kwani akiwagusa tu kuna jambo la mafanikio linatokea.
Nabii Flora akifanya kazi ya Mungu kama alivyoangizwa na Mungu kuwaokoa watu na kuwaleta kwa Yesu
Mzee wa kanisa Ansila (kushoto) akimweza jambo nabii Flora Peter kuhusiana na mgeni aliyefika kwaajili ya maombezi
nabii Flora Peter akiwa na mgeni wake wakisalimiana. hapa ndipo nabii Flora hukaa kwaajili ya kusikilza shida za watu wanaokuja kwaajili ya kumuona na kuombewa.
Nabii akifanya maombi juu ya mgeni wake
Maombezi yakiendelea na Nabii Flora
nabii Flora akionyesha sura ya furaha kwa mgeni wake
Mgeni akimsikiliza Nabii Flora kwa makini.
Mwandishi
Rulea Sanga wa www.rumaafrica.blogspot.com na unaweza kuwasiliana naye kwa +255 715 851523
Mpiga picha ni Octavian
Mwandishi
Rulea Sanga wa www.rumaafrica.blogspot.com na unaweza kuwasiliana naye kwa +255 715 851523
Mpiga picha ni Octavian
Comments