RUMAFRICA Magazine

RUMAFRICA FASHION

RUMAFRICA FASHION

OOOH! MUNGU WANGU!!!...JUU YA NYAYA NA KUMSABABISHIA KUNASWA

Kwanini wewe usimshukuu Mungu kuwa ni mzima na Mungu amekuepusha na mengi.

Fundi wa Shirika la Umeme Tanesco mkoani Iringa, Selemani Mbuma akiwa amenaswa na umeme baada ya wenzake kuwasha umeme kimakosa wakati akiendelea na matengenezo katika eneo la Mlandege mkoani humo.

Comments