RUMAFRICA Magazine

RUMAFRICA FASHION

RUMAFRICA FASHION

RULEA SANGA AFIWA NA NDUGU YAKE

Ninapenda kuwajulisha wapenzi wa Rumafrica yakuwa Mkurugenzi wa Rumafrica, Rulea Sanga amefiwa na ndugu yake na sasa yuko katika safari ya kwenda kumpumzisha ndugu yake katika nyumba  ya milele  huko Makete.
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjddnGY2ru8mdpPghxZgL_1TK36mQ2bQCkuwaXmgHJBvZ8HB-5nwiWO-fSJj7cHeD_Lgh6Ih2KWsn0cnhK1hGDPskg_mD1evrUk4v4rTaEVWoHuwQ76Az0_KHRkArF-rFHRoBQcm8y0gc_M/s1600/378.JPG

Rulea Sanga

Ndugu yake amefariki jana mchana na alikuwa amelazwa hospitalini kwa muda wa siku tatu akisumbuliwa na kansa ya tumbo.

Safari inaanza leo saa 5:00 asubuhi kunzia Buguruni na kuelekea Makete. 

Anaomba sana maombezi yenu katika safari yake ya kumlaza ndugu yake. 
Mungu awabariki sana

Simu yake +255 715 851523
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgK8aaKI6A5BgJiXp8WfaWlm5UEKuZ0Eg1w6In-4ozgCxJn21V2pFyNl0pPkTPKO8IQYShJ82Qtm0kPUYzihpl-xQZClO5hhYinQwtNRA69EBwcfjW1ChxjPRUOM-zlluBzIAc6PT6Xf5OW/s640/180765_1849473715774_1208649492_2238300_2928318_n.jpg

Comments