Ni mengi utakuja kujua kuhusiana na Maznat Bridal Care kwa kupitia blogu hii na blogu zingine nyingi za Kikristo. Utaweza kujua baadhi ya mambo yafuatayo?
1. Mmiliki wa Maznat Bridal Care
2. Ni kitu gani wanafanya
3. Wanapatikana wapi?
4. Siri za mafanikio za Mkurugenzi wa Maznati Bridal Care?
5. Ni kitu gani wamekpanga mwaka 2013?
6. Nini kitafanyika katika kutimiza miaka 10 tangia imeanza
7. Matatizo gani wanakumbana nayo?
8. Maznat Bridal Care imesaidia nini katika jamii ya Kitanzania?
9. Wateja wao haswa ni akina nani?
10. Katika kusherekea miaka 10 tangu ianzishwe, kiingilio ni shilingi ngapi? Zawadi gani itatolewa kwa watakaofika kutoka Maznati Bridal Care? Kwanini itolewew hiyo zawadi? Dress Code yake ikoje? Ni jinsia gani inahusika haswa katika sherehe hiyo (wanaume au wanawake)?
11. Ni kitu gani kitazungumzwa kutoka kwa Mkurugenzi wa Maznat Bridal Care?
Comments