KIPINDI CHA MAOMBI NA SALAMU KUTOKA KWA
NABII FLORA
Ninakusalimu kwa jina la Yesu, karibu sana katika ibada ya leo.
Nina kila sababu ya kumshukuru Mungu kwa kunipa uhai.
Ninakushukuru Mungu kwa kunipa watu hawa siku ya leo.
Ninakushukuru Mungu kwa kulilinda Taifa langu la Tanzania.
Ninakushukuru Mungu kwa uponyaji wako utakaoenda kufanyika siku ya leo.

Nabii Flora
Tumekuwa tukionewa na maadui zetu kila itunapokuwa katika harakati za kimaisha, ila leo ninasema wewe adui achia mtu huyo unayemtesa. Adui yako amezuia uchumi, amezuia kipato chako, ninasema pokea sasa mtu wa Mungu Baraka zako kutoka kwa Mungu. Ninaona file lako limefunguliwa. Bwana amenambia mkazi wa Dare s Salaam kuwa leo Yesu anaenda kukuinua. Hili ni agano la Yesu la Utajirisho.

Ninakamata Baraka
zilizopotea, ninakamata watu waliokufa katika mazingira ya kutatanisha,
ninasema mama uliyefiwa mtoto au mumeo nasema sasa pokea hao ndugu zako
waliokufa kwa njia ya kutatanisha.
Ninasema wachawi wameanguka, mizimwi imeanguka. Leo ninakata
adui yako na msumeno vipande vipande, ninamung’oa adui yako. Ninasema hili ni
kanisa la upako, kanisa la miujiza kwahiyo shetani huna mamlaka.
Ninatamka Baraka taifa la Tanzania, ninatamka Baraka kwa
viongozi wa chama na serikali, ninatamka Baraka kwa Rais wangu, Mungu bariki
nchi yetu ya Tanzania.
Ninasema wewe unayesumbuka na magonjwa kama kansa, pokea
uzima siku ya leo, ninakataa kansa hiyo inayokusumbua, ninaifuta kwa damu ya
Yesu Kristo, ninasema. Bwana amenambia kuwa kuna binti anaenuda kupona kwani
amesumbuliwa kwa muda mrefu.

Bwana amenambia, nabii wa bwana wakati wa wewe kutamka kwa
watu wangu imefika. Bwana kanambia maisha yako yanaenda kubadilika Mutalemwa,
kanambia Wile ulivyoteseka sasa haukuna tena, maisha yako yanenda ku-change,
lazima ufanikiwe Rulea Sanga. Bwana amenambia kuhusu maisha yako kuwa adui zako
wamekanyagwa na wanenda kung’olewa na kuangushwa chini.
Ninasema na wewe, yakuwa lile jiwe lililolalia Baraka zako
ninaliviringisha lile jiwe liondoke, kwani ninayo mamlaka. Ninakuponda jiwe,
ninakuponda UKIMWI, ninakuponda TB, ninakuponda kisukari. Nimeapa lazima
nimuangamize adui yako kwani ninao msumeno, ninao upanga, ninafyeka magonjwa,
wachawi, vibwengu, ninapukutisha uchawi.

Mnayenisoma katika facebook na blogu yetu, ninasema pokea Baraka ziwe kwako, ninasema leo ni siku ya mwisho ya kuteseka kwako. Ninasema leo lazima maisha yako yabadilike. Ninasema na wewe mama ninasema na wewe binti, ninasema na wewe kaka yakuwa lazima maisha yako yabadilike. Ninakuomba eeh Yesu badilisha maisha ya hawa watu kwani wameteseka vya kutosha na mateso ya shetani.

Pokea Baraka watumishi, wainjilisti, wanamaombi, waimbaji na viongozi wote wa
kanisa hili. Bwana amenambia leo hakuna aliyefiwa, afya yako inaenda kubadilika
kwani Yesu ankukomboa. Ninasema na wachungaji kuwa Bwana anaenda kubadilisha
maisha yalo. Mambo yako yanaenda kuwa safi, asema Bwana wa majeshi.
Yesu anaenda kukuinua, asema Bwana wa majeshi. Pokea pastor
Jury Baraka, pokea pastor Ansilla Baraka, pokea Pastor Komba Baraka za Mungu.
Ninaona kuna mama amebeba mimba na ikapotea ghafla, ninasema hautapoteza mimba tena kwani hayo ni mapepo na mizimu iliyokuwa inakuimbia mtoto wako.
Ninaona kuna mama amebeba mimba na ikapotea ghafla, ninasema hautapoteza mimba tena kwani hayo ni mapepo na mizimu iliyokuwa inakuimbia mtoto wako.
Ndio Bwana, Ndio Jehova, ndio Mungu, niko tayari
kusikia sauti yako kwaajili ya watu wako Baba. Baba nitumie kama chombo cjhako
kwaajili ya watu wako ili wakufikie wewe Mungu.
Bwana kanambia kuna mtu anataka kujinyonga na kujiua,
ninakuambia usijinyonge Mungu anakupenda. Kuna mtu anataka kutoa mimba,
ninakuambia upite hapa mbele kwa nabii Flora ili uombewe na uwe jasiri katika
kipindi chako cha ujauzito.
Ukiwa karibu na mtumishi wa Mungu na
unamsikiliza na kutii, lazima Bwana akutendee. Kuna mtu ametengwa na ndugu yake
na anataka kujinyonga kwani hana amani, ninakuambia usifanye hivyo kwani Mungu
yupo atakutetea.
UJUMBE WA IBADA YA JUMAPILI KUTOKA KWA NABII FLORA PETER
KUWAPIGA MAADUI ZAKO
KUWAPIGA MAADUI ZAKO
Nitakuwa na ujumbe wa Mungu siku ya leo ya
tarehe 10.03.2013 katika kitabu cha Isaya 10:24-27 na nikipata nafasi nitarudi
Isaya 14: 24-27. Karibu sana na Mungu akubariki. Ninakukaribisha wewe
unayenisikia na kunisoma katika blog na facebook.
(Ninakuomba usome mistari hiyo katika Biblia yako, na nabii Flora ataenda kuielezea)
(Ninakuomba usome mistari hiyo katika Biblia yako, na nabii Flora ataenda kuielezea)
Bwana
anasema enyi watu wangu mkao katika sayuni, Enyi watu mkao katika Taifa la
Tanzania msiogope adui yeyote, inagwa adui akupiga kwa fimbo, amekupiga kwa
magonjwa, amekupiga kwa ufukara, amekupiga kwa kukosa ajira, na ameliinua gongo
lake, ninapenda kukuambia usiogope. Bwana ansema bado kitambo tu na taabu yako
itakoma. Bwana anazidi kusema kuwa bado kitambo kidogo tu ghadhabu yako itaenda
kukoma na asira yangu itageuka kuangamiza adui zako.
Asira
ya bwana inaenda kugeuka siku ya leo na kwenda kuangamiza adui zako waliokupiga
kwa fimbo, kansa, ufukara, UKIMWI, TB, malaria, leo napenda kukuambia kuwa hata
kama wameinua magongo yao, Bwana anenda kuwashusha na magongo yao. Na Bwana wa
majeshi atanzisha mjeredi juu yake, ninasema Yesu anaenda kuanzisha mijererdi
juu ya habari zako, juu ya wachawi, juu ya wabaya. Ninasema ataenda kurusha
mjeredi juu yako Mutalemwa.
Mmesikia
ushuhuda ya mtoto aliyemeza pini, yamkini kuna wengine walisema atakufa, hata
kupasuliwa ilishindikana, lakini wakaja hapa kanisani na kunieleza, Mimi kama
nabii nikamsikiliza nini Mungu ananambia juu ya huyu mtoto, Mungu akanambia
mwambie mama yake kuwa pini inaenda kutoka mdomoni. Ebu fikiria dokta kashindwa
na mimi nasema kwa kinywa na simpi mafuta wala kitu chochote. Nikasema kwa
kinywa change na pini ilitoka mdomoni. Iweje wewe ushindew kumuangamiza adui
yako.
Adui
yako ameinua gongo lake na kukutishia maisha, mwambie mwaka huu hutamaliza
nitakuwa nimekuangamiza. Na Bwana wa majeshi anasema ataanzisha mijeredi juu
yako. Ninapenda kukuambia leo ninaenda kupiga madui zako katikati. Asema Bwana
wa majeshi ya kuwa maadui zako siku ya leo wanaenda kupigwa na fimbo yake ataiinua
juu ya bahari (maana yake dunia). Yesu atakupandisha juu ya bahari.
Kuna
watu wanasema wew huna Mungu, wanakusema kwa maneno, ninasema yuko kiboko yao
amabye ni Yesu. Ninataka kukuambia kuwa ukiona mtu anakuzungumzia ujue
anakukubali. Mtu akiwa hana kitu aum maskini huwa hazungumziwi, lakini ukiwa na
kitu watakufuata, hata ukitembea na mke wako wanasema unaringa na kila kitu
ukifanya wanasema unaringa. Ukiona unasema ujue umekubalika, ukiona watu
wanakuzungumzia wana-appreciate kazi zako.
Naye
Bwana akainua fimbo yake kwa naman ya pekee, tena itakuwa siku hiyo, ni siku ya
kuondoa mzigo wako uliokuwa mabegani. Yamkini umetupiwa mzigo wa magonjwa,
mzigo wa matukano, Bwana anasema mzigo wako utaondolewa begani mwako.
Nira yako itaenda kuharibiwa siku ya leo kwasababu ya kutiwa
mafuta ya Mungu, maana unamikosi, huna kazi, mumeo kakuacha, biashara zako
zimeyumba, umekataliwa kwa kumwagiwa mafuta vinaenda kuondoka.
Bwana wa majeshi ameapa hakika yake kama
alivyoazimia ndivyo itakavyokuwa. Nami Nabii Flora ninasemakama nilivyoazimia
ndivyo itakavyokuwa leo. Na kama nilivyokusudia kutoka nyumbani kwangu ndivyo
itakavyokuwa. Ninasema wagonjwa wote mnaenda kupona una UKIMWI, huna kazi
unaenda kupokea ajira leo, ofisi nyingi zimefungwa lakini utapigiwa simu.
Pokea
ajira kijana, pokea kuolewa binti, tupa magongo wewe unayetumia magongo sasa.
Ninasema mabinti pokea ndoa, pokea kuolewa..Tooouuuuchhhh!!!!... Ninaenda
kuvunja hao maadui zako vipande vipande.

Ninaona viwanja vyote vina-shake, ninaona viwanja vyote nguvu za Mungu zinatembea. Ninasema vija pokea ajira. Ninaenda kumuumbua adui wa umaskini, alizuia maisha yako, aliyezuia usipate kazi, aliyezuia usipate Baraka, ukifanya jambo hufanikiwi, ukifanya biashara haziendi, ukienda kazini huna kibali. Ninavunja adui yako, mapepo, majini, kwa jina la Yesu, asema Bwana wa amajeshi.

asema juu yam lima wangu nitamkanyaga adui yako, maana uko moto usio wa
kawaida. Aliyeua mtoto wako ninamkanyaga vipande vipande. Ninaenda kurudisha
Baraka zako, uchumi wako.
Bwana anasema nira yako itaondoka yaani mikosi yako itaondoka. Yesu ninaomba uniletee watu hao amabao umesema nira yao inaenda kuondoka. Ninaachilia mpenyo kwa watu hawa, mapepo yanaondoka.

Bwana anasema nira yako itaondoka yaani mikosi yako itaondoka. Yesu ninaomba uniletee watu hao amabao umesema nira yao inaenda kuondoka. Ninaachilia mpenyo kwa watu hawa, mapepo yanaondoka.
Kuna watu 480 ambao kabisa Mungu amenambia wataenda kupokea
Baraka. Baba ninaomba uniletee watu 480 ambao nira zao zinaenda kuondoka,
ninaona magonjwa, mikosi, laana, TB, kisukari, vinaondoka, ona watu wako
wanavyorushwa juu. Bwana kanambia ziko Baraka wako, ziko Baraka nyumbani kwako,
Bwana kanambia niseme na watu siku ya leo,.

Ninakuita Baba, Ninakuita Baba, Ninakuita nabii Flora,
Ninakuita Yesu uwaponye watu wako maana umesema hatubaki na UKIMWI, hatutabaki
na kansa, leo ni siku yako ya kupokea,
ni siku yako ya Kimungu. Ninasema pokea msingi sasa, pokea mtaji wako.
Ninageuza hewa kuwa manukato, ninawageuza watu hawa wapokea
Baraka sasa. Ninaona malaika waemshuka. Ninaema naachia Baraka, pokea mafanikio
mwananngu.
Ninaona
watu zaidi ya 50 wamepona virusi sasa.
Ninakuita Baba, ninakuita Yesu, tunapoteza wasomi, tunapoteza uchumi kwa
kisukari, kansa, stroke, ninakusihi Baba uihurumie nchi yangu ya Tanzania,
usimame Yesu na utembelee watu wako, watu wamechoka na dunia, tembelea
wanaotumia madawa ya kulevya ili waache kutumia, badilisha vijana Baba
wanaovuta bangi, wanaotumia madawa ya kulevya. Tazama Yesu watu wanaangamia
UKIMWI, watu wanachanganyikiwa na kuwa vichaa kwa kulogwa,
Ninakuita Baba sikia kilio changu kama mtumishi wako juu ya
watu wako. Linda watu wako wa Tanzania, linda nchi yetu. Angalia watu hawa wako
kanisani wamelkuja kukuona Baba ili wapone. Yesu tembea, ninalia Nabii Flora
ili watu wako wafunguliwe, hii ni sauti ya mtu aliyoko nyikani, ninalia mbele
zako Yesu. Badilisha ahwa vijana waliopotea na wako mbali na wewe waje kwako na
wakutafute wewe Yesu kwani unapatikana.
Ninakataa na ninafuta UKIMWI, kansa, ninasema
kwa kila mmoja aliyekuja mahali hapa.
MUNGU AWABARIKI
Unaweza kujua mengi kuhusu huduma ya Nabii Flora kwa kutembelea
MUNGU AWABARIKI
Unaweza kujua mengi kuhusu huduma ya Nabii Flora kwa kutembelea
au
Facebook: Nabii Flora Peter
au
Fika kanisani na utaweza kupata DVD za mahubiri yake.
Mwandishi ni Rulea Sanga
Mpiga Picha ni Rulea Sanga na Octavian
Mwandishi ni Rulea Sanga
Mpiga Picha ni Rulea Sanga na Octavian
Comments