RUMAFRICA Magazine

RUMAFRICA FASHION

RUMAFRICA FASHION

MWINJILISTI SARAH SHILLA KUUNGURUMISHA INDIA KATIKA WOKOVU PASAKA

Sarah Shilla akiwa kwenye mojawapo ya huduma nchini India.

Mkutano wa injili pasaka hii, wakilengwa waabuduo sanamu na miungu mingine, hatimaye wanafikiwa na kuhubiri Punjabi katika jimbo la Louisiana, kanisa la Chandigarth Brethren, kusini mwa India na Sarah Shilla akiwa mhubiri mualikwa eneo hilo.

"Nasimama kabisa na kuhubiri, nikiwapa watu changamoto kuhusu miungu wanayohubiri na midoli midoli ya kwamba haitawafikisha mahali popote." Sarah anaeleza wakati akihojiwa na Silas Mbise.

Sarah, ni mwanadada aliyejaliwa Karama na vipaji kadha wa kadha, akiwa Mhubiri, muimbaji na kwa upande mwingine akiwa fashion model huko India, soma hapa kuhusiana na hilo. Na sasa, ni sahihi kumuita Muijilisti iwapo utakutana nae.


Source: GK

Comments