RUMAFRICA Magazine

RUMAFRICA FASHION

RUMAFRICA FASHION

PAPA AOSHA NA KUBUSU MIGUU YA WAFUNGWA KATIKA IBADA YA ALHAMISI TAKATIFU



Papa Francis akibusu mguu ya mmoja wa wafungwa katika kanisa la 'Casal del Marmo' ambalo ni kanisa la wafungwa vijana nje kidogo ya mji wa Roma, Italy. Katika ibada hiyo ya Alhamis Takatifu wafungwa 12 wenye umri kati ya miaka 16 na 21 walioshwa na kubusiwa miguu yao na Papa Francis. Tendo hili lilifanyika ili kuonesha wakatoliki wanavyotakiwa kuwa karibu zaidi na maskini. Uchaguzi huo wa wafungwa 12 ulifanywa kwa kuchanganya wafungwa wa dini na mataifa mbalimbali.

Comments