RUMAFRICA Magazine

RUMAFRICA FASHION

RUMAFRICA FASHION

RUMAFRICA INAWATAKIA WATU WOTE IJUMAA KUU NJEMA


Tunawatakia Ijumaa Kuu iwe ni ya kumtafakari Yesu alivyoteswa msalabani. siku ya leo ni ya huzuni kwetu na ni siku ya kumbolewa kwetu. Waumini wote na wapagani na watu wa dini zote leo tunapaswa kufika makanisani na kusikiliza Neno la Mungu kutoka kwa watumishi wa Mungu. Na baada ya kupokea Neno la Mungu, tukalitumie katika maisha yetu ya kawaida.
http://www.gerhardy.id.au/images/jesus_crucifixion170411_03.jpg


Comments