RUMAFRICA Magazine

RUMAFRICA FASHION

RUMAFRICA FASHION

DVD ZA MAHUBIRI YA PASAKA 2013 NA TAREHE 14 APRIL ZA NABII FLORA PETER ZINAPATIKANA

Kama unapenda vitu vizuri vyenye kukufikisha mahali palipo salama na ukaishi maisha ya kumpendeza Mungu, unaombwa kujipatia DVD za mtumishi wa Mungu Nabii Flora Peter wa kanisa la Yesu Kristo la Huduma ya Maombezi na Uponyaji zenye mahubiri ya Pasaka 2013 na tarehe 14 04 2013. Utaweza kupata Ujumbe wa Mungu, Shuhuda na utafarijiwa na kubarikiwa na uimbaji kutoka kwa waimbaji wenye upako wanapokuwa wakiimba.

DVD hizi zimetengenezwa na RUMAFRICA




Comments