OVERCOMERS POWER CENTRE WAMPONGEZA MH. EDWARD LOWASA NA UJUMBE WAKE KWA MCHANGO WAKE WA UJENZI WA KANISA NA KITUO CHA REDIO
Ni jambo la msingi na la hekima kumshukuru Mungu kwa kila jambo jema linapofanikwa huku tukiona kwa macho haya mya kawaida lakini pia tukiuona mkono wa mungu ukiwa upane wetu,kwanza kabisa tunamshukuru Mungu kwa yote yaliyofanyika haikuwa kazi rahisi sana kufikia tulipofikia ilikuwa ni kazi ngumu ilikuwa na vikwazo vya kila aina pamoja na hayo yote Mungu alitupigania tutakuwa si wingi wa fadhira tusipo washukuru ndugu,jamaa na marafiki zetu katika kristo bwana wetu kwa ushirikiano wao usioelezeka wala usio kuwa na kipimo katika kufanikisha siku ya harambee ya ujenzi wa kanisa na kituo cha redio Overcomers fm na kwa mapokezi mazuri kwa mgeni wetu waziri mkuu mstafu Edward Lowasa aliye ongoza harambee hiyo.
Haikuwa kazi rahisi kama unavyoweza kufikiri juu ya ujio wa mheshimiwa Edward Lowasa katika mkoa wa iringa katika kanisa la Overcomers Power Centre kwaniaba ya kamati ya maandalizi ya tukio hilo Askofu wa kanisa hilo Dk.Boaz Sollo amesema ni makusudi ya Mungu pekee kufanikiwa kwa tukio la ujio wa Waziri mkuu mstaafu Mh.Edward Lowasa ili kuongoza harambee ya ujenzi wa kanisa na kituo cha redio anasema kipekee kabisa aliweza kutoa shukurani zake kwa makundi mbalimbali yaliyojitokeza katika ibada ya changizo.
Miongoni mwa kauli nzuri zilizotolewa na Askofu wa kanisa hilo Dk Boaz Sollo alisema miongoni mwa malengo ya harambe hiyo ni ujenzi wa kanisa na kituo cha redio ambavyo vitahakikisha watu wa mkoa wa Iringa na nchi nzima wanabadilishwa mitazamo ya kidunia na kuachana na kumgeukia mungu lakini pia ni kuwa kanisa litakalohakikisha watu wa mkoa wa Iringa wanapata mafundisho ili kujikwamua kiuchumi kiroho na pia ni kutengeneza mahusiano mazuri ya kiroho na waumini wa madhebu mengine hasa kupitia kituo cha Redio ya Kanisa hilo iitwayo OVERCOMERS FM ambayo ni maarufu katika mikoa ya nyanda za juu kusini inayopatikana katika masafa ya 98.6 Iringa.
Huduma inayotolewa na kanisa la Overcomers Power Centre itafanyika Baraka kubwa zaidi kwa wakazi wa mikoa hiyo ya nyanda za juu kusini na Tanzania kwa ujumla na hii inajidhihirisha kutokana na jinsi watu walivyojitokeza katika siku ya uchangiaji iliyofanyika siku ya jumapili ya tarehe 21.04.2013 mkoni Iringa hivyo askofu Boaz pia aliwataka wakazi wa Iringa kutambua kuwa uwepo wa huduma hiyo nyanda za juu kusini ni kwa manufa yao hasa katika huduma ya kiroho.
Ili kuthamini michango inayotolewa na viongozi mbalimbali hapa nchini katika kuhakikisha kazi ya mungu inasonga mbele Kanisa la Overcomers Power Centre Iringa chini ya mtumishi wa Mungu Askofu Dk Boaz Sollo lilimkabidhi tuzo maalum na kumtunuku Waziri mkuu aliyejihuzuru Mh Edwadi Lowasa ambaye ndiye aliyekuwa mgeni rasmi katika harambee hiyo .
Akizungumza wakati wa kukabidhi tuzo hiyo Askofu wa kanisa hilo Dk Boaz Sollo amesema kwa kutambua mchango wa kiongozi huyo wa nchi katika kuyasaidia makanisa pamoja na shughuli za kijamii wameona ni vyema kumtunuku tuzo ya Heshima ili kumtia moyo kwa kazi anayo ifanya kwa jamii pamoja na changamoto nyingi anazokutana nazo wakati wa kujitolea na kusaidia suala la maendeleo katika jamii hasa wale wanao mpinga katika hilo ili kumkatisha tamaa hivyo Askofu Boaz Sollo pamoja na waumini wa kanisa hilo wataendelea kumuombea ili afanikiwe zaidi pamoja na kushinda vikwazo vinavyomkabili kiongozi huyo.
"tunatambua mchango wako kwa jamii na umesaidia makanisa mengi wau wengi pamoja na vikundi vingi kwakweli umefanyika kuwa mtu wa watu kwa kuliona hilo tumeona tukutunuku Tuzo ya heshima ili kumtia moyo na usikate tamaa kuendelea kuwasaidia watu mbalimbali pale wanapomuhitaji"
"tumeona mchango wake na tumeguswa na hilo sisi tutendelea kumuombe kwa Mungu ili afanikiwe katika yale anayoyafanya hata kama kuna watu wanaompinga hii inatokana kwamba siku zote tunaamini shetani hapendi maendeleo ya mtu wa Mungu"alisema askofu.
Katika harembee hiyo zaidi shilingi Mil 70 zilipatikana kutokana na michango iliyotolewa na wadau mbalimbali wakati mgeni rasmi akichangia sh mil 15 ambapo aliambatana na ujumbe wa watu wa nne ambao ni mbunge wa Ludewa Deo Filikunjombe,Kange Lugola,Mendrad Kigola Mbunge wa Mufindi kusini pamoja na Mbunge wa viti maalum mkoa wa Iringa Litha Kabati. Kwaniaba ya kamati ya askofu Boaz aliwashukuru wale wote walioshiriki.

Comments