RUMAFRICA Magazine

RUMAFRICA FASHION

RUMAFRICA FASHION

TAMASHA LA KUSIFU NA KUABUDU DPC JUMAPILI HII

Watu hufunguliwa, kujazwa roho mtakatifu na pia kuinuliwa kiroho pale wanaposifu na kuabudu. Haya yote ni kwenye tamasha ambalo litafanyika jumapili 28 Aprili 2013 kuanzia saa tisa alasiri Dar es Salaam Pentecostal Church (DPC), mkabala na benki ya Barclays.

Baadhi ya waimbaji watakaohudumu kwenye tamasha hilo lisilo na kiingilo ni pamoja na CASFETA kutoka chuo cha ardhi, Harvest Singers, Bombi, The rivers of life, pamoja na viongozi wa sifa, John Lissu, Bale, Christian Halai na wengine wengi.

Bwana atakutana na haja ya moyo wako pale tu utakapohudhuria, kwa mawasilino zaidi unaweza kupiga namba 0716757777 au 2668821, hutakiwi kukosa

Comments