RUMAFRICA Magazine

RUMAFRICA FASHION

RUMAFRICA FASHION

UPENDO NKONE NA CHRISTINA SHUSHO KULA GOOD TIME KATIKA TAMASHA LA THE INTERNATIONAL GOSPEL MUSIC FESTIVAL 2013 COLUMBIA


Mwimbaji wa Nyimbo za Injili Tanzania Christina Shusho anatarajia kushiriki Tamasha la The International Gospel Music festival kwa Mwaka 2013, lililoandaliwa na Kanisa la All Nation Break Through lililoko lililoko Columbus, Ohio, USA chini ya Watumishi wa Mungu Pastor Donnis & Nnunu Nkone.

Waimbaji wengine watakaoshiriki ni pamoja na Upendo Nkone, Pastor Daniel Kiza na Wengine wengi watakaoendelea kutangazwa siku chache zijazo. Taarifa zaidi kuhusu Muda na Sehemu zitatolewa hivi karibuni.

Source: Gospel News

Comments