Tunakushuru sana wewe ambaye umekuwa mwamnifu sana katika kumtolea Mungu wako fungu la kumi. Tunakuomba uzidi kumtolea Mungu, Naye atafungua milango ya mafanikio katika maisha yako. Mungu atafunga milango ya mikosi, kutoolewa au kuoa, kulaaniwa, ufukara, kudharauliwa, kuchekwa, magonjwa na mambo yote ya shetani. Mungu na azidi kubariki kazi ya mikono yako kuanzia Jumatatu mpaka Jumapili. Kila kitu utakachogusa kikawe na mafanikio. Mipango na malengo yako yakatimie kwa jina la Yesu Kristo. Mungu akubariki sana.
Hizi ni baadhi ya picha wakati watu wa Mungu wakimtolea Mungu Fungu la Kumi

Nabii Flora Peter


Nabii Flora Peter


Nabii Flora Peter




Nabii Flora Peter








Nabii Flora Peter


Nabii Flora Peter








Nabii Flora Peter


Nabii Flora Peter










KIPINDI CAHA KUPAKWA MAFUTA YA UPAKO


Hizi ni baadhi ya picha wakati watu wa Mungu wakimtolea Mungu Fungu la Kumi

Nabii Flora Peter
Nabii Flora Peter
Nabii Flora Peter
Nabii Flora Peter
Nabii Flora Peter
Nabii Flora Peter
Nabii Flora Peter
Nabii Flora Peter
KIPINDI CAHA KUPAKWA MAFUTA YA UPAKO
Comments