MAZOEZI YA KUSIFU NA KUABUDU CHINI YA MWALIMU JOHN SHABANI NA WAALIMU WENGINE KWA AJILI YA MAANDALIZI YA MKUTANO WA MWINJILISTI BONNKE YAENDELEA VIZURI
Je wewe ni mwimbaji, kwaya au kikundi, mnakaribishwa kuungana waimbaji
wengine kwa ajili ya maandalizi ya mkutano mkubwa wa injili
utakaohubiriwa na muhubiri wa kimataifa Dr. Rehinard Bonnke
Ni jumamosi hii, pale magomeni mikumi, katika kanisa la T.A.G. Bado tuhitaji waimbaji, ili kukamilisha idadi ya watu 5000
Zaidi ya waimbaji 500 kutoka makanisa mbalimbali, wakimsikiliza mwalimu John shabani, alipokuwa akielekeza kuhusu sifa na mbinu za kuwa mwimbaji bora
Mratibu wa mikutano ya Bonnke barani Afrika, Mwinjilisti Pascal Ado kutoka Togo, akipongeza mazoezi pamoja na kuongea na waimbaji wanaoendelea kuhudhuria mazoezi hayo

Source: John Shabani
Comments