RUMAFRICA Magazine

RUMAFRICA FASHION

RUMAFRICA FASHION

IBADA YA JUMAPILI 22/09/2013 KATIKA KANISA LA YESU KRISTO LA HUDUMA YA MAOMBEZI NA UPONYAJI KWA NABII FLORA PETER



Nabii Flora akihubiri siku ya jumapili

Nabii Flora akiombea watu waliojitokeza kutoa fungu la kumi













Wakisikiliza Neno la Mungu kutoka kwa Nabii Flora Peter













Kipindi cha maombezi na Uponyaji

Baada ya kuombewa watu waliweza kuanguka chini..Yote tunamuachia Mungu.






Wakiombewa maji



Nabii flora akiombea sadaka


Wakiombea
Baadhi ya wazee wa kanisa wakiombea sadaka




Nabii Flora akichovya kitambaa katika mafuta ya UPAKO tayari kwa kuwapatia waumini ili wapokee baraka za Mungu kwa njia ya mafuta yaliyoombewa

Wanandoa hawa wakimshukuru Mungu baada ya kuwafanikisha katika harusi yao ya Jumapili iliyopita






Nabii Flora akionyesha mfuta uliomtoka mwanadoa huyo hapo juu baada ya Mmguu wake kuoza na kuharibika kwa muda mrefu. Alopofika kwa Nabii Flora aliweza kuombewa na Nabii alimtabiria kuwa atapata mume mwema na atamuona, na hivi sasa imekuwa hivyo

Comments