RUMAFRICA Magazine

RUMAFRICA FASHION

RUMAFRICA FASHION

JIPATIE KITABU CHA NGUVU YA MJASILIAMALI KUTOKA KWA MTUME PETER NYAGA WA KANISA LA RGC MIRACLE CENTER TABATA CHANG'OMBE

Rumafrica siku ya jana ilikuwa ikitengeneza cover la kitabu kinachohusiana na ujasiliamali kilichotungwa na Mtume Peter Nyaga. Kitabu hiki kitakuwa sokoni hivi karibuni. Endelea kutembelea blogu yetu au blogu ya Mtume Peter Nyaga, www.urejeshotv.blogspot.com


Cover hili limetengenezwa na Rumafrica +255 715851523

Comments