RUMAFRICA Magazine

RUMAFRICA FASHION

RUMAFRICA FASHION

NEEMA GASPA KUUNGURUMISHA KATIKA MKUTANO WA INJILI MAKONGO JUU SIKU YA IJUMAA BAADA YA KUWASHA MOTO KENYA ARUSHA

Neema Gaspa baada ya kumtumikia Mungu kwa njia ya uimbaji Kenya na sasa yuko Arusha, amesema siku ya Ijumaa atamwimbia Mungu katika mkutano wa Injili unaendelea Makongo Juu. Mkutano huu umeanza tarehe 24/09/2013 na utamalizika siku ya Jumapili 29/09/2013 ambapo kutakuwa na tamasha la kusifu na kuabudu

 Kulia ni Neema Gaspaa akiwa na mwimbaji wa injili Madam Ruti


Comments