Baby
Fashion ni duka linalomilikiwa na mtumishi wa Mungu ambaye ameokoka na
anamtumikia Mungu. Baada ya kupata maono ya ujasiriamali ndipo alipoamua
kufanya kazi hii ya kuuza nguo za watoto tu. Duka hili limekuwa baraka
kwa walio wengi waliofika na kujipatia nguo zenye kiwango cha juu sana
kwa bei nafuu kabisa.
UNAWEZA KUWASILINA NA MTUMISHI WA MUNGU
+255 712 873313
Comments