RUMAFRICA Magazine

RUMAFRICA FASHION

RUMAFRICA FASHION

IBADA YA LEO JUMAPILI KATIKA KANISA LA YESU KRISTO LA HUDUMA YA MAOMBEZI NA UPONYAJI MBEZI SALASALA DAR ES SALAAM TANZANIA

Ibada ya leo ilikuwa ni ibada ya kipekee sana katika huduma hii ya maombezi na Uponyaji kwa Mtumishi wa Mungu Nabii Flora. Mungu wetu nii Mungu wa upendo na huruma kwani tumeona akitumia wanadamu kufikisha ujumbe wake na pia kuwahudumia wenye matatizo.

Kanisa hili limekuwa masaada mkubwa sana kwa wale wamtafutao Mungu kwa moyo wote. Jina la Yesu Kristo limekuwa likitumika na kwa kupitia jina lake na damu yake watu wamekuwa wakipokea miujiza yao.

Kanisa hili linaamini kuwa kwa msaada wa Mungu kila kitu kitafanikiwa..na hii imekuwa kweli kwani watu wamekuwa wakimiminika katika kanisa hili wakiwa na mamatizo makubwa kama vile UKIMWI, Kansa, TB, Pressure, Kisukari, Malaria, Vichwa Kuumwa, watu waliokosa kazi, ndoa zilizoharibiwa na shetani, wakikombolewa na Mungu

Nabii Flora kwa msaada wa Mungu amekuwa akiwahudumia Watanzania na watu kutoka mataifa mbalimbali siku zote za wiki isipokuwa Jumamosi ambapo mtumishi hupumuzika kwaajili ya ibada ya Jumapili.

Unawezakutembelea blogu ya kanisa kuona matendo makuu ya Mungu
www.nabiiflora.blogspot.com
+255 657 442699


KIPINDI CHA KUOMBEA WATOA MAFUNGU YA KUMI




 Wazee wa kanisa wakipokea vitambaa vyenye mafuta ya upako kwaajili ya kuwapelekea waumini

KIPINDI CHA KUOMBEA AKINA DADA WANAOTAKA KUOLEWA NA HAWANA WACHUMBA




KIPINDI CHA KUOMBEA AKINA KAKA WANAHITAJI KUOA


 KIPINDI CHA KUSIKILIZA NENO LA MUNGU



ANGALIA MATUKIO MENGINE KWA KUBOFYA "READ MORE" HAPO CHINI







KIPINDI CHA MAOMBEZI NA UPONYAJI




KIPINDI CHA SIFA







KIPINDI CHA SHUHUDA





Kwa matukio zaidi Tembelea

Comments