RUMAFRICA Magazine

RUMAFRICA FASHION

RUMAFRICA FASHION

MTUME PETER NYAGA KUANDAA CHAKULA NA MAVAZI KWAAJILI YA YATIMA, VILEMA NA WAJANE

Uongozi wa Kanisa la RGC Miracle Centre Tabata Chang’ombe chini ya Mtume Peter Nyaga kwa kutambua mazingira magumu wanayokabiliana nayo walemavu, yatima na wajane, limeandaa chakula maalum cha huruma katika hafla itakayofanyika tarehe 7/12/2013. Katika hafla hiyo itakayoambatana na sherehe za kutimiza miaka saba ya kanisa la RGC, pamoja na uzinduzi wa vitabu saba vya mtume Peter Nyaga. Mbali na chakula cha pamoja, walemavu, yatima na wajane watagawiwa vyakula pamoja na mavazi kwa ajili ya kuwapunguzia ugumu wa maisha. Shughuli yote hiyo inatarajia kugharimu shilingi milioni 20. Kwa kutambua umuhimu wako katika kufanikisha shughuli hiyo, tunakuomba ushiriki kwa kuchangia kwa kadiri Mungu atakavyosema nawe na utabarikiwa sana. Zaburi 68:5 “Mungu ni Baba wa yatima na mwamuzi wa wajane”


Kazi hii imefanya na RUMAFRICA: +255 715 851523
Hii ni kadi ya Mwaliko

 Hii hapo juu ni fomu ya kujaza kwaajili ya kuchangia

RISITI YA MALIPO
 Upande wa mbele wa risiti
Upande wa ndani wa risit
Upande wa nyuma wa risi

Comments