RUMAFRICA Magazine

RUMAFRICA FASHION

RUMAFRICA FASHION

STELLA JOEL AKILISHUKURU KANISA LA YESU KRISTO LA HUDUMA YA MAOMBEZI NA UPONYAJI (KWA NABII FLORA PETER) KWA KUMUUNGA MKONO KATIKA HARUSI YAKE

Mwimbaji wa Nyimbo za Injili Tanzania siku ya tarehe 13.10.2013 alimshukuru Mungu na kanisa zima kwa kufanikisha harusi yake. Stella Joel kabla hayjaolewa alishatabiriwa na Nabii Flora kuwa atampata mmzuri ambaye ataridhika naye, na hii imetokea..jina la BWANA lishukuriwe.

AKIONGEA NA RUMAFRICA ALISHUKURU PIA WATU WOTE WALIOFANIKISHA HARUSI YAKE

Unaweza kuwasiliana na Stella Joel kwa simu: +255 653 738468

Stella Joel akiwa na mume wake wakilishukuru kanisa kwa msaada wao

Mume wa Stella Joel akishukuru kanisa kwa kumuunga mkono katika harusi yao



 
xxx







xx


Comments