WATU WA MUNGU WAKIWA BUSY KUSOMA BIBLIA KATIKA IBADA YA JUMAPILI 01.12.2013 KANISA LA YESU KRISTO HUDUMA YA MAOMBEZI NA UPONYAJI KWA NABII FLORA PETER
Mwandishi na Mpiga picha: Rulea Sanga (RUMAFRICA) +255 7515851523
MWEZI ADARI NI MWEZI WA USHINDI NA KUPELEKEA ZAWADI NI MWEZI WA WALIOPIGA PURI
Tuna kila sababu ya kumuinua Yesu katika mwezi huu Adari au mwezi wa kumi na mbili (Desemba), soma Esta 3:7-13 na Esta 6:15, utakuta habari za mwezi Adali. Watu waliweza kupelekeana zawadi nah ii utaikuta Esta 9. Huu ni wezi wa pekee kabisa na kama hujafanikiwa mwezi wa kumi na moja (11) tarajia mwezi huu kufanikiwa. Hata kama mwezi uliopita ulikuwa mgumu (mwezi wa kumi na moja), tarajia mwezi wa kumi na mbili (12) wewe kupata ushindi.
Ninakushukuru wewe uliyekuja kufungua mwezi pamoja na mimi, kusherekea na kupokea mwezi Adari au mwezi mpaya wa kumi na mbili (12), tunasema enyi watu wazuri huu ni mwisho mbaya. Ninasema tunaanza vizuri na tutamaliza vizuri. Huu ni mwezi wa ushindi kama vile Hamani alivyouawa na maakida wake.

Ninasema maadui zetu, UKIMWI, kansa, kisukari vitaangamia kwa mkono wa Mungu huyu tuliyenaye. Mungu anaonekana katika madhabahu. Madhabahu ni mtumishi wa Mungu. Mungu huwa hasemi na mtu bali husema na mtu, ndi maana tunasema Mungu wa Shadraki na Balinego, Mungu wa nabii Flora, Mungu wa Mchungaji Jury, Mungu wa Anna makinda, Mungu wa Sanga; unavyosema hivyo hatukosei kwasababu Yule Yule Mungu wa Meshaki ni Yule Yule unayemwabudu hapa kanisani.
PASIPO WATUMISHI WA MUNGU HAKUNA UTAKACHOPATA KATIKA MADHABAHU HIYO
Kama watumishi wa Mungu hawapo madhabahuni, Yesu Kristo hawezi kutenda kwani huwatumia watumishi wake kuleta ujumbe kwa watu wake. Mungu anatenda kupitia mtumishi wake. Sema Mungu wa Nabii Flora kanisaidia, kwani nilikuwa na kisukari ameniombea na sasa nimepona…!!!. Kwasababu Mungu anatumia watu na hatumii mtu, ndio maana anasema Utukufu wangu wa mwisho utakuwa mkuu kuliko ule wa kwanza, ndio maana alitenda kule Nazareti na leo anatenda kwetu. Nakuwepo Mungu ndani ya mtumishi wake anajifinyaga. Ukisema Mungu wa Rwegasila hujakosea, kwasababu Mungu nakuwa ndani ya Yule mama na anamtumia kwa kuweka Neno lake ndani yake.
Unatakiwa kusema, mimi nilipokuja kanisani kwa nabii Flora nilikuwa naumwa UKIMWI na baada ya kuniombea nikapona na kwa kusema hivyo unakuwa unamtukuza huyu Mungu wa Nabii Flora aliyendani yake. Ninataka kukuambia kama wewe utakuja kanisani na ukakuta hakuna watumishi wa kanisa hilo, UKIMWI au tatizo lako haliwezim kunyauka kwani hawapo wa kukuombea, mpaka awepo mtumishi wa Mungu akuombee, na hii inatokana na wewe kufuata kanuni za Mungu na ukifanya hivyo utafanikiwa.
Watu wengi wamekuwa wakisema watumishi wa Mungu waajiinua, na mimi ninasema hakuna mtumishi wa Mungu anapenda kujiinua ila ni Mungu aliyendani yake ndiye anayemwinua kwani Mungu huyu anajifinyanga ndani yake. Mungu anasema hapo mwanzo palikuwapo na Neno naye nNeno alikuwepo kwa Mungu naye Neno alikuwa Mungu, alifanyika mwili akaja kwetu nasi tukaona utukufu wake.
Kumbe Mungu anafanyika mwili, anakuingia na kufanyika mwili na sisi tunauona utukufu wake. Watu wamekuwa wakiomba wakisema, “MUNGU SHUKA na usishuke kwa mtumishi wa Mungu” Ninataka kukuambia kuwa Mungu hawezi kushuka mwenyewe. Mungu husema na mtu mmoja mwenye agano naye, na Yule mtumishi anaambukiza kama mbegu za mchicha, na ikidondoka chini inaota na zinajitokeza na zingine. Chanzo inakuwa mbegu moja na ndio inayosababisha zingine kutokea. Nataka kukuambia ndugu yangu ya kwamba lazima ujue Neno la Mungu.
Ninataka nikuweke mikononi mwa Mungu mwezi huu usipate laana
bali Baraka za Mungu. Watumishi wengi wamewatupia laana, watu wamekuwa na
mikosi ya kupata pesa, wamekuwa mafukara kwa kukosa mafanikio. Bwana amenambia
nisungumze ili watu wapate mafanikio katika mwezi huu Adari, na uchumi wako
unaenda kufufuka na kushamiri.
NABII FLORA ALIVYOAMBIA JUU YA MWEZI HUU ADARI
Nabii Flora alikuwa na haya ya kusuma: Usiku wa leo nilipokuwa nikiongea na Mungu kuupokea mwezi Adari, ndipo Mungu alinionyesha kitu kilikuwa kikiwaka sana kama nyota, kilikuwa kitu kikubwa sana, niliona kile kitu kile kilikuwa kimefichwa, ndipo nilipokichukua kile kitu. Baada ya kuchukua kile kitu, watu walitamani sana kuwa na kile kitu lakini hawakukipata. Wengine walikuwa wakinga’nag’ania, wakidondoka na kujikuta wakiangamia. Nilikuwa nikimwambia Mchungaji kuwa watatufuatilia lakini wataangamia. Mungu anaknambia watu wanatafuta kitu ulichonacho lakini hawatukuweza.
Niliona ushindi mkubwa mwezi huu, watu wamefanikiwa, mvua inawanyeshea, watu wamelima mazao na yamestawi, niliona watu akaunti zao zinajaa, afya zao zinakuwa bora, watu wananenepa. BWANA akanambia nitayafanya mwezi Adari.
NABII FLORA ALIVYOAMBIWA NA MUNGU JUU YA NDOTO YAKE YA KUONA KITU KIKITEMBEA CHINI YA ARDHI KWA KASI SANA
Nabii Flora alikuwa na haya ya kusuma: Pia niliona kitu kingine kinafukua chini ya ardhi na kinatembea kwa kasi sana. Nikamuuliza Mungu mbona nimeona kitu kinatebea chini kwa chini na kinafukua kwa kasi? Mungu akasema upako nitauachilia mpaka watu watashangaa, nitaambukiza upako kwa watu. Mungu akanambia mafanikio yatapita kwa kasi na tutahakikisha watu wanafanikiwa
UTABIRI JUU YA MWEZI HUU ADARI

Mwezi huu ni wezi wa ushindi, kazini kwako
utapata ushindi mkuu, bosi wako atapata ushindi mkuu, maadui zako wataangamizwa
wote, majini mahaba uliyokuwa unashea nayo yatakiona cha moto, na hayo majini
mahaba yatakupisha katika kitanda chako, maana ndo ayko inakwenda kuyaangamiza
makahaba. Ninayasema haya katika madhabahuni na Neno hili nimelikomba kutoka
kwa Roho Mtakatifu. Ndoa yako lazima iwe na amani na furaha, watu waponywa
sana, kutakuwa na miujiza isiyo ya kawaida, watu wanakwenda kufanikiwa kwa hali
yoyote ili watu watafanikiwa. Kama wewe kipato chako ni kidogo unakwenda
kuinuliwa
Comments