RUMAFRICA Magazine

RUMAFRICA FASHION

RUMAFRICA FASHION

DADA YAKE NA GAMA MWASUMBI ANAUMWA ANAHITAJI MAOMBI YAKO.

Huu ni wakati wa kuonyesha ule upendo wa Agape kwa ndugu yetu Gama ambaye kwa muda huu yuko katika wakati mgumu sana kutokana na kumuuguza dada yake kipenzi. Ni wajibu wangu na wako kuchukua masaa machache ya kumuombea huyu ndugu yetu ili apone. Hapendi kuteseka na huu ugonjwa unaomsumbua, anapenda kuwa mzima kama awali. Tumuobee na Mungu wetu na uhakika atajibu maombi yako. Amua sasa na anza kuomba kwa jina la Yesu.







Comments