MKUTANO WA KONGAMANO LA KINABII NA UPONYAJI ULIOANDALIWA NA MTUME PETER NYAGA NA KUFANYIKA SAVANA TABATA SIKU YA TEREHE 5.1.2014 WAKOMBOA WALIO WENGI NA KUMPOKEA MWOKOZI WETU YESU KRISTO
Mtume Peter Nyaga (kushoto) na Mwinjilisti kutoka Morogoro
Mwimbaji wa nyimbo za Injili Maokondeko akimtumikia Mungu kwa karama aliyopewa na Mungu
Mwimbaji wa nyimbo za Injili Maokondeko
Mwimbaji wa nyimbo za Injilina Mtangazaji wa radio WAPO, Silas Mbise akikihakikisha Injili inasonga hata kwa fimbo, watu wampokee Yesu Kristo
Silas Mbise wa WAPO radio akitumia karama yake kwa nguvu zake na akili zake zote ili kazi ya BWANA isikike na kupendwa na wengi
Weweweeee mpoke Yesu acha ubishi...
Mwimbaji wa Nyimbo za injili Kenyatta
Mwimbaji wa Nyimbo za injili Kenyatta
Mwimbaji wa nyimbo za Injili Upendo Nkone
Mtume Peter Nyaga wa kanisa la RGC Tabata Chang'ombe akiomba
Mwinjilisti Maloda kutoka Morogoro akihbiri
Mwinjilisti Maloda kutoka Morogoro akihbiri
Mwinjilisti Maloda kutoka Morogoro akiombea wenye shida mbalimbali
Tembelea
Facebook: Peter Nyaga
Blogu: www.urejeshotv.blogspot.com
Comments