RUMAFRICA Magazine

RUMAFRICA FASHION

RUMAFRICA FASHION

AUDIO CD YA KWAYA YA UZIMA KATIKA NENO KUWA SOKONI HIVI KARIBUNI


Rumaafrica ikiongonea na mmoja wa waimbaji wa kwaya hiyo, alisema kwa sasa wameshamaliza zoezi zima la kurekodi na kilichobaki ni kufanya finishing tu. Kila kitu kiko ytayari kwahiyo wapenzi wote wa huduma ya Uzima katika Neno mnaombwa kujipatia nakala yenu pale tu sitakapokuwepo sokoni.



Kwa hii iko chini ya Mtume Moses Kingu na inafanya vizuri sana kwa uimbaji.
Cover hili limetengezwa na RUMAFRICA +255 715 851523

Comments