RUMAFRICA Magazine

RUMAFRICA FASHION

RUMAFRICA FASHION

MUONEKANO MPYA WA LULU WAFANANISHWA NA MUONEKANO WA WATUMISHI WA MUNGU

Actress mwenye jina kubwa Elizabeth Michael "Lulu" ameshangaza watu kadhaa wakiwemo mashabiki wake kutokana na muonekano wake mpya katika jarida la Vibe Magazine Tanzania ambalo litatoka muda si mrefu. Lulu anaonekana kama mtumishi wa Mungu wa dini ya Kikristo katika picha hiyo huku ikiambatana na maneno" can you judge me".

Comments