RUMAFRICA Magazine

RUMAFRICA FASHION

RUMAFRICA FASHION

PENZI KATI YA MCHUNGAJI ANSELIM MADUBUKO NA MWIMBAJI WA NYIMBO ZA INJILI EMMY KOSGEI HADHARANI



Muimbaji wa mziki wa injili kutoka Kenya Emmy Kosgei ambaye ameolewa na Mchungaji kutoka Nigeria (Anselm Madubuko) wiki iliyopita wameleta gumzo kubwa kupitia kwenye mitandao ya kijamii kwa mahaba yao ya kimapenzi yaliyo wazi kwa jamii na hata barabarani.Wamekua wakiwa pamoja wakitembea pamoja popote waendapo ikiwemo makanisani nchini Nigeria ambapo Emmy Kosgei anaishi kwa mda kabla hajarudi nchini Kenya nyumbani kwao wiki chache zilizopita.

Wapenzi hao walioshibana sasa hivi wameamua kuweka uhusiano wao kwenye mitandao ya kijamii ambapo wamepost picha ya pamoja wakiwa wameandika "Selfie" huko nchini Nigeria-Ikeja.

Source: Uncle Jimmy

Comments