RUMAFRICA Magazine

RUMAFRICA FASHION

RUMAFRICA FASHION

TUZIDI KUMTIA MOYO NA KUMFARIJI DAVID ROBERT ALIYEFIWA NA MAMA YAKE WIKI CHACHE ZILIZOPITA

David Robert ni mwimbaji wa nyimbo za injili Tanzania. Kwa kipindi hiki yuko katika pigo kubwa sana baada ya kumpoteza mama yake mzazi. Tuzidi kumuombea rafiki yetu David Robert iliazidi kumtumikia Mungu na kusahau yale anayopitia. David Robert akiwa Marekani aliweza kupata habari za msiba wa mama yake na ikamfanya arudi nchini ili amzike mama yake kipenzi. Tuone baadhi ya picha akiwa huko Marekani




































Comments