Hii ni hatua nyingi ambapo Askofu mkuu wa T A G Tanzania Dr. Barnabas Mtokambali amezindua pikipiki za Waangalizi Jimbo la Dodoma. Pikipiki hizo zitatumika katika kazi ya
MUNGU katika jimbo la Dodoma Ni miaka 10 ya mavuno Tanzania kwa YESU.

Pikipiki hizo zikiwekwa wakfu kwa maombi

Mpwapwa kwa Yesu



Pikipiki hizo zikiwekwa wakfu kwa maombi

Mpwapwa kwa Yesu


Comments