RUMAFRICA Magazine

RUMAFRICA FASHION

RUMAFRICA FASHION

CHRISTINA SHUSHO NA ROSE MUHANDO WAINGIA TENA KATIKA TUZO ZA GROVE AWARDS

Hakika hii inatia moyo kwa waimbaji wetu hapa Tanzania. Hii ni neema tunaweza kusema. Tunachotaka kukifanya ni kuwaombea waweze kushinda katika hizi tuzo. Tunatambua kila mtu anatamani kushinda, na hii inapendeza ila kama Mtanzania unatamani kuona Mtanzania mwenzako kashinda. Sasa kitu cha kufanya ni kutwanga messeji za kutosha kuwapigia kura hawa watu wa Mungu.
http://umbeamtupu.com/wp-content/uploads/2014/02/RoseMuhando-650x400.jpg
Rose Muhando

Siku ya jana waandaji wa tuzo hizi waliachia majina ya washindani ili wewe upate kujua kitu gani kinaendelea katika ulimwengu wa muziki wa injili duniani. Kipindi hiki jaribu kuwa mzalendo kidogo kwa hawa watumishi wa Mungu. Usiwabanie wakashindwa kuliinua Taifa letu na Mungu wetu. Itapendeza kuona Rose Muhando au Christina Shusho ameshikiria kombe la tuzo hili. Kingine cha kufanya ni kupiga magoti na kusali kwa kumaanisha juu ya hili. Ushindi hauwezekani kupatikana kama hakuna maombi, Maombi yana nguvu.
http://urugero.net/wp-content/uploads/2013/10/christina-shusho-post.jpg
Christina Shusho

Basi sawa...!!!!
Wako katika Bwana
Rulea Sanga

AGALIA ORODHA YA MAJINA HAPO CHINI







EASTERN & CENTRAL AFRICA ARTIST
• Christina Shusho – Tanzania
• David Kasika – Congo
• Exodus – Uganda
• Gaby Kwairizie – Rwanda
• Rose Muhando – Tanzania
• Solomon Mkubwa – Tanzania –

MALE ARTIST OF THE YEAR
• Bahati
• Dk Kwenye Beat
• Jimmy Gait
• Kris Eeh Baba
• Pitson

FEMALE ARTIST OF THE YEAR
• Eunice Njeri
• Gloria Muliro
• Janet Otieno
• Mercy D Lai
• Sarah K
• Size 8

BONYEZA READ MORE HAPO CHINI KUSOMA ZAIDI

GROUP OF THE YEAR
• Adawnage
• BMF
• Christ Cycoz
• Kelele Takatifu
• Nicholas Harmonies
• S.O.C

NEW ARTIST/NEW GROUP OF THE YEAR
• Benachi
• Danny Gift
• Diddi Kimer
• Grace Mwai
• Lady Bee
• LJay Maasai

SONG OF THE YEAR
• Asusu – Dk Kwenye Beat
• Lingala Ya Yesu – Pitson
• Machozi – Bahati
• Mateke – Size 8
• Msaidizi – Gloria Muliro
• Napokea Kwako – Janet Otieno ft. Christina Shusho

WORSHIP SONG OF THE YEAR
• Hakuna Silaha – Sarah K
• Holy God – Chomba
• Ni Juu Yako – Frank
• Niumbie na Roho Mtakatifu – Pastor Musembi
• Ulibeba – Eunice Njeri
• Uwepo – Mercylinah

ALBUM OF THE YEAR
• Kirathimo – Grace Mwai
• Msaidizi – Gloria Muliro
• Nisamehe -Mercy D Lai
• Pacato – Pst. Musembi
• Silaha – Sarah K
• Uwepo Wako – Mercylinah

HIPHOP SONG OF THE YEAR
• Mede (Mapepo) – Kris Eeh Baba & Friends
• One Way – Sanka
• Rise & Shine – Kelele Takatifu & Christ Cycoz
• Sir – Eko Dydda
• Testimony – Kennedy Krezi
• Wannabe – Dee & Holy Dave

VIDEO OF THE YEAR
• Asusu – DK Kwenye Beat
• Kazi Ya Msalaba – Daddy Owen ft. Danny Gift
• Machozi- Bahati
• Mateke – Size 8
• Sambaza – Alice Kamande
• Signature – Jimmy Gait

COLLABO OF THE YEAR
• Kazi Ya Msalaba – Daddy Owen ft. Danny Gift
• Laleiyo – Ljay Maasai ft Shiro Wa GP
• Mungu Baba – Rufftone & GSU
• Napokea Kwako – Janet Otieno ft. Christina Shusho
• Ngai Ti Mundu – Betty Bayo & Mr. Seed
• Rise & Shine – Kelele Takatifu & Christ Cycoz

RAGGA/REGGAE SONG OF THE YEAR
• Addicted – JFAM
• Big God – Dafari
• Glorious – Guardian Angel Ft. Jay & Tahilla
• Live Up – HopeKid
• Soldier – Mr. Vee
• Worship You – BMF ft. Mercy Wairegi

DANCE GROUP OF THE YEAR
• All Stars
• De Tour
• Flamers
• Genje
• Gospel Warriors
• Tremors

GOSPEL RADIO SHOW OF THE YEAR
• Gospel Sunday-Milele
• Gospel Switch – Truth FM
• Inuka-Hot 96
• Mwamba Show – HBR
• Shangilia – Hope FM
• Tukuza – Radio Maisha


GOSPEL TV SHOW OF THE YEAR
• Angaza – KBC
• Crossover 101- NTV
• Gospel Sunday – (Kubamba & Rauka) CTV
• Password – NTV
• The Switch – K24
• Tukuza – KTN

RADIO PRESENTER OF THE YEAR
• Allan T – HBR
• Amani Aila – Hope FM
• Anthony Ndiema – Radio Maisha
• Kambua – Hot 96
• Lawrence Thuku – Truth FM
• Selly Amutabi – (Tambira) QFM

DJ OF THE YEAR
• DJ GG
• DJ Krowbar
• DJ Mo
• DJ Sadic
• DJ Sanch
• DJ Touch

CENTRAL SONG OF THE YEAR
• Ahiurania – ND Githuka
• Busy busy – Betty Bayo
• Kirathimo – Grace Mwai
• Ndikaria Thithino Yene – Waweru Karanja
• Nyungu Ya Ngai – Shiru Wa GP
• Queen – Loise Kim

EASTERN SONG OF THE YEAR
• Amaitha Kanw’ai – Eunice Kyalo
• Kinyuriru – Ndilima
• Kitole – Stephen Kasolo
• Malovoto – Phylis Mutisya
• Mwaka Mweu – Justus Myelo
• Ngumbau – Wilberforce Musyoka

NYANZA SONG OF THE YEAR
• Dala Mosingi – Muthoka
• Dongo Dongo – Geraldine Oduor
• Ekina – Mary Kerubo
• Kende Kende – Tetete
• Thuond Mula – Christine Otieno
• Yesu Olocho – Prisca Onyango

RIFT VALLEY SONG OF THE YEAR
• Kongoi Baba – Moses Sirgoi
• Laleiyo – LJay Maasai ft Shiro wa GP
• Olenkodikod – Diddi Kimer
• Otononse – Lillian Rotich
• Sigiriet – Joel Kimeto
• Sobei Cheiso – Emmy Kosgei

PWANI SONG OF THE YEAR
• Ahadi Za Bwana – Pst. Anthony Musembi
• Bwana Wa Mabwana -Princess Farida
• Milele – Marion Shako
• Mwaminifu – Kristine Ndela Ft. Rozina
• Nisamehe – Mercy D Lai
• Tam Tam – Masha Mapenzi

WESTERN SONG OF THE YEAR
• Endiriranga – Ben Bahati
• Humbe Obulamu – Tetron Alubiri
• Khwekanile – Geofrey Kwatemba
• Mwami we tsimbavasi – Carol Martins
• Nyasaye Papa – Damso Mutsotso
• Shibenyanata – Joseph Shisia

WESTERN AFRICA ARTIST
• Cwesi Oteng – Ghana
• Frank Edwards- Nigeria
• Izzy Beat – Nigeria
• Nathaniel Bassey – Nigeria
• Sinach – Nigeria
• Uche – Nigeria

SOUTHERN AFRICA ARTIST
• Abel Chungu – Zambia
• Benjamin Dube – South Africa
• Joyous Celebration – South Africa
• MAG 44 – Zambia
• Pompi – Zambia
• Solly Mahlangu – South Africa

Comments