Umefika wakati mwingi watu wa Mungu kukusanyika pamoja, kuimba pamoja, kumtukuza Mungu wetu pamoja kwa maana YEYE ni mwema maishani mwetu. Atosha Kissava kwa msaada wa Mungu Jumapili ya tarehe 22/06/2014 atakuwa anatimiza ndoto yake ya kufanya uzinduzi wa albamu yake ya pili ya KILA MTU ANASEMA UMWEMA katika ukumbi wa kanisa la Maisha ya Ushindi kwa Mchungaji John Said.
Tamasha litaanza saa 7:00 mchana na kuendelea na hatakuwa na KIINGILIO chochote. Waimbaji mbalimbali watakuwepo kuwasha moto wa injili.
SIKILIZA TANGAZO HILI
Tamasha litaanza saa 7:00 mchana na kuendelea na hatakuwa na KIINGILIO chochote. Waimbaji mbalimbali watakuwepo kuwasha moto wa injili.
SIKILIZA TANGAZO HILI
Comments