Jumapili ya tarehe 11. Mei.2014 nilipata kibali cha kuhudhuria ibada katika kanisa takatifu la EFATHA Mwenge hapa jijini Dar es Salaam. Kanisa hili lenye utofauti wa kipekee kuanzia watu wake waimbaji na watumishi wanaofanya kazi ya Mungu, hakika nilibarikiwa sana. Waimbaji wake wako smart sana na ratiba zao hakika utazipenda.
Kanisa hili linaongozwa na mbeba maono Nabii na Mtume Josephat Mwingira ambaye Mungu amempa neema ya pekee ya kuliongo kanisa kubwa kama lile.
Kuna mambo ambayo niliambulia katika ibada hiyo na nimeona ni vizuri tukashirikia hiki kikombe cha Bwana. Mtume na Nabii Mwingira alifundisha juu ya ROHO SABA na hivi ndivyo ilivyokuwa:
Roho ya Bwana ikiwa juu inatofautiana na Roho zingine.
Roho ambazo sio za Mungu lazima ziwe chini. Tuone baadhi ya Roho:
1. ROHO YA BWANA
Roho hii kazi yake inakaa juu ya zote.
2. ROHO YA KRISTO
Roho huyu hukaa ndani ya ROHO WA MUNGU. Kazi zake ni:
- Inaelea na kuumba. Mwanzo 1:1
- Mtu akiwa na Roho hii hasumbuliwi na chochote, inaweza kwenda popote na kukaa mahali popote.
- Hutengeneza miujiza.
3. ROHO WA BWANA
- Isaya 60: Kazi yake ni mamlaka kutawala, kumiliki, kutajilisha, inahusisha na serikali
- Inahusika na utumishi au kazi.
4. ROHO YA KRISTO
- Yohana, 1:12: Kazi yake ni kudhihirisha uwana, kukufanya mwana wa Mungu. Huwezi kufika kwa Mungu bila ya kuwa na Roho hii hufika mbinguni.
-Mkono wa Bwana ukiwa juu yake maana yake Roho wa Bwana iko juu yake.
-Roho ya Bwana akiwa juu unakuwa chini ya miliki ya Mungu. Hakuna kitu unafanya kwa ridhaa yako.
-Roho wa Bwana anaweza kutumia hata mtu asiyeokoka.
-Mungu anaposhughulikia mtumishi wake usiingiliwe. Mfano Mfalme Nebukadeleza.
-Katika nchi yoyote Rais anatawala watu na sio nchi, angetawala nchi angefanya mvua inyeshe au isinyeshe.
-Mungu ndiye anayeweka watumishi katika madaraka yoke.
-Unatakiwa kuwa na hofu kwa Mungu aliyekuumba.
-Hakuna serikali ya ukandamizaji kama ya Tanzania.
-Mamlaka ya Mungu ndio inayofungua watu.
-Utajuaje nchi inatawaliwa na uchawi ni pale unapoona walimu na madkitari hawaheshimiwi. Nchi ambayo inatawaliwa na watu wa Mungu inawapa hofu ya Mungu
-Mungu anapokubariki usimsahau kwa roho wa Bwana anakutoa mahali na kukupeleka mahali.
-Mamlaka ya Mungu iko juu ya mamlaka zote.
Kuna mamlaka zifuatazo
(a) Mamlaka ya Mungu: Hii ndiyo yenye mamlaka yote. Hakuna mamlaka itakayotamba zaidi yah ii. Mungu anaweza kuangamiza kiumbe chochote hapa duniani na hakuna atakayempinga wala kumjaji. Yeye ndiye BOSS.
(b) Watumishi: Mamlaka hii ni kwa watumishi wa Mungu kama Wachungaji, Manabii, Mitume, Askofu, Mapadre na watumishi mbalimbali
(c) Nguvu za giza (waganga wa kienyeji): Mamlaka hii ni kwa wale wanaotumia nguvu za shetani kufanya kazi zao, inapingana na nguvu za Mungu, kazi yake ni kuharibu na kuteketeza kwa Yule asiyempokea Bwana Yesu Kristo.
(d) Daktari (Vipimo): Mamlaka hii ni kwa madakatari ambao wanauwezo wa kumwambia mtu alazwe na asifanye jambo Fulani, na hauna ubishi juu ya hilo. Hata Rais akiwa na safari ya muhimu ya kitaifa anatii mamlaka aliyonayo daktari bila ya kubisha, anauwezo wa kumlaza kitandani Rais wa nchi.
(e) Jaji (sheria): Mamlaka hii hutegemea sana sheria. Jaji anaweza kumuweka mtu jela kutoka na sheria. Hata kama wewe ni tajiri wa namna gani au kiongozi mkubwa wa namna gani, inapobaini una kosa basi sheria inachukua mkondo wake. Hata raisi hawezi kuingi Ikulu mpaka ameapishwa na Jaji.
(f) Rais (bunduki): Huyu ni mwenye mamlaka ya mwisho kabisa ukilinganisha na mamlaka za hapo juu. Huyu mara nyingi hutegemea vita hasa pale nchi inavyokuwa imeingiliwa na adui.
Roho wa Bwana yu juu yako anakupa kazi ya kutiisha mamlaka zingine. Unaweza kuamlisha mambo yasiyowezekana yaka wezekana.Serikali ilitaka kuimaliza EFATHA lakini walishindwa, walitumia mabomu lakini walikuta malaika wa Bwana wamekaa.
Wenu katika Bwana
Rulea Sanga
+255 715 851523

Comments