Jina la Bwana libarikiwe. Tunamshukuru Mungu kwa kumtetea na kumfanikisha katika oparesheni yake. Tuzidi kumuombea Debora apone na azidi kumtumikia Mungu kwa karama yake aliyopewa ya uimbaji.


Dada Debora baada ya oparesheni

Hapa mama mchungaji, Debora John akimsifu Mungu, huku akienda sambamba na Mch. John Bagenyeka
Comments