RUMAFRICA Magazine

RUMAFRICA FASHION

RUMAFRICA FASHION

REV. DR. LUCY NATASHA KUTOKA KENYA KUTUA DAR ES SLAAM KWA MTUME PETER NYAGA KATIKA KONGAMANO LA AKINA MAMA NA MABINTI

Kama unavyomuona Rev. Dr. Lucy Natasha akiwa ameshajaza mafuta full tank tayari kwa safari ya kulekea Tanzania kwa Mtume Peter Nyaga wa kanisa la RGC Tabata Chang'ombe lililopo jini Dar es Salaam. Ujio wake ni kwajili ya akina mama na mabinti ambayo watafundishwa masomo yawahusuyo na kuombewa. Jamani hii ni bahati kubwa sana kuwa na huyu mtumishi wa Mungu kwa maana amekuwa busy sana na kazi za Mungu duniani, amekuwa mtu wa kuzunguka mataifa mbalimbali kwa kazi ya Mungu. Jitahidi ufike


MATATIZO AAKINAMAMA

Comments