Kwa mara ya kwanza kufanyika Tanzania hasa katika blog za KIKRISTO, Rumafrica imeanzisha TV ya mtandaoni, katika TV hiii kutakuwa na mambo mbalimba yanazungumziwa kutoka kwa waimbaji, wajasiliamali, waalimu, wainjilisti, wachungaji, manabii, wanamuziki, wanandoa, na mambo mbalimbali. Watu wataweza kuelezea maisha yao na mapito wanapitia na hatimaye kupata ushauri kutoka kwao. Kama ungependa kufanya mahojiano nasi basi wasilinana na RUMAFRICA kwa simu +255 715 851523. Tupo Sinza Afrikasana Dar es Salaam Tanzania.
Kwa kweli usikose kuangalia vipindi vyetu. Baadhi ya vipindi tumefanya tayari ni kama hivi:
BONYEZA HAPA KUONA VIPINDI TUMEFANYA (NB Usibonyeze nembo hapo chini)

Kwa kweli usikose kuangalia vipindi vyetu. Baadhi ya vipindi tumefanya tayari ni kama hivi:
BONYEZA HAPA KUONA VIPINDI TUMEFANYA (NB Usibonyeze nembo hapo chini)

Comments