BAADHI YA WASANII WA BONGO MOVIE WAHUDHURIA IBADA YA KUVUNJA ROHO ZA MAUTI ZA WASANII KATIKA KANISA LA NCHI YA AHADI SINZA MUGABE
Ibada ya jana ilikuwa ya kipekee kabisa katika kanisa la Nchi ya Ahadi linaloongozwa na Mchungaji Harris Kapiga maeneo ya Mugabe Sinza. Ibada hiyo ilikuwa kwaajili ya kuwaombea wasanii wa Bongo Movie na kuvunja roho ya mauti inayowakumba kwa kipindi hiki. Mchungaji Harris Kapiga aliweza kumuomba Mungu awalinde na adumishe umoja kwa watu wanaotamani kuingia katika tasnia ya filamu Tanzania.
Mchungaji Harris Kapiga akifundisha
Ibada hiyo ya wasanii wa bongo movie iliwakilishwa na Rais wa shirikisho la filamu Tanzania (TAFF) Saimon Mwakifamba.Wasani wengine waliofika pamoja na waimbaji Bahati Bukuku,Dotnata na Mfupe…
Mama Mchungaji akifanya maombi.
Bahati Bukuku akifanya kweli siku ya jana
Saimon Mwakifamba Rais wa shirikisho la wasani Tanzania.
Waimbaji waki abudu

Comments