RUMAFRICA Magazine

RUMAFRICA FASHION

RUMAFRICA FASHION

MSANII WA FILAMU MZEE MASINDE ASUMBULIWA NA WAFANYAKAZI WAKE AINGIA PENZI NA MFANYAKAZI WAKE

Filamu hii yenye kufundisha na kuadibisha na vitendo vinavyofanyika maofisi na wafanyakazi. Watu wanaacha kufanya kazi na kubaki na majungu na wengine kudiriki kufanya mapenzi na mabosi wao ili wajipatie fedha. Hii ni tabi mbajya kwako wewe uliyeokoka lakini inakijibwana pembeni kinachokulea na hujafunga naye ndoa. Umemuacha mke wako na kuanza kuwalaghai wadada kwa kuwahonga pesa eti wewe ni Boss wa kampuni. Ipo siku utadhalilishwa mbele za akadamnasi kwani Mungu wetu hapendi kuona unafanya mapenzi nje ya ndoa yako. Taiya Odero au Suzy anajikuta anaingia kwenye matatizo baada ya kula bata na boss wake Mzee Masinde.

Filamu hii itakuwepo sokoni Julai 10.2014.

Comments