Ile filamu
iliyokuwa ikisubiriwa na watu wengi sana duniani ya INSIDE ya Jennifer
Kyaka (Odama) cnini ya kampuni ya J-FILM 4 LIFE sasa itakuwa sokoni
10.07.2014. Utaweza kuona vituko vya maofisini kati ya wafanyakazi na
mabosi. Taiya Odero (Suzy) ataona anavyofanya vitu vyake dhidi ya boss
wa kampuni akitaka mapene kwa kupitia mapenzi na baadae kujutia tabia
yake.
Filamu hii inawafundisha hata waliokoka ambao wokovu wao haujasimama na wanatumia wokovu kufanya vitendo viovu na wakubwa wao wa kazi wakitaka kujipatia pesa. Wanatumia uzuri wao kuwadanganya mabosi wao na mwisho wa siku wanajikuta wanaingia katika matatizo makubwa.
Kwahiyo kwa kupitia filamu hii utaweza kufunguka na kujifunza mengi

Comments