Usiyemjua Joyce Ombeni, huyu ni mtumishi wa Mungu kutoka Tanzania. Kinywa chake kimefanyika baraka kwa walio wengi, hasa walioweza kusikia sauti yake yenye utamu wa Yesu masikioni. Mungu amempa zawadi hiyo ya uimbaji Joyce Ombeni ili awaimbie watu na watu waweze kupona shida zao. Nyimbo zenye kumtukuza Mungu aliye hai, Mungu atupaye neema katika maisha yetu zimewawezesha wengi kuokoka au kutamani kuokoka kutoka na vile vipande vya maneno vikitokavyo kama mshale na kuwafikia wale wenye kiu ya kusikiliza Neno la Mungu.
Mimi nisikuchoshe sana bali angali video hii. Rumafrica inazidi ku-upload video zingine ili wewe uweze kupona
Wimbo wa Ni;ale
Wimbo wa Ni;ale
Comments