Unamfahamu Angel Benard kwa uimbaji wake na unyenyekevu wake. Dada ambaye aliamua kumtumikia Mungu kwa njia ya uimbaji. Jumapili ya kesho atakuwa anazindua albamu yake ya New Day katika kanisa lenye upako wa ajabu sana la Mch. Deo Lubala Sinza Mori.
Siku ya kesho navyoiona kutatokea jambo katika maisha yangu, lakini sijui upande wako. Connection ya Angel Benard na Mungu wake, kwangu hunibariki sana na hasa ashikapo mic na kuitoa ile sauti yake nyororo...binafsi huniburudisha na kuniweka wa tofauti sana KIIMANI.
Mtanzania mwenzangu onyesha Uzalendo wa kumuunga mkono mtumishi wa Mungu Angel Benard kwa kufika eneo la tukio. Angel Benard anakutegemea sana wewe na sio mtu mwingine, kuja kwako kutaongeza idadi ya watu watakaofika na italeta utukufu mbele za Mungu.
Angel amekuandalia hii kadi iliyotengenezwa na Rumafrica kwaajili yako.

SIKILIZA NYIMBO ZAKE ULIOMO KATIKA ALBAMU ANAYOZINDUA KESHO
(HII NI AUDIO NA SIO DVD)
Comments